mzalendo iq1
JF-Expert Member
- Mar 10, 2020
- 1,257
- 1,543
Mimi yangu macho maana mtu kama kiongozi wa chama chenye ushindan huwezi kuamini siasa za kwenye mitandao ukaacha siasa za kijumuia baada ya kuona nyuzi nyingi zimeanzishwa zikiwasema vibaya wale wabunge walioenda bungeni kua wamenunuliwa na CCM.
Nikachoka kabisa nikasema kwa hiyo Mbowe kama kiongozi anashindwa kulimaliza ili tatizo na wabunge wake kwa kuzungumza nao kutaka ku-solve hii ishu kidiplomasia kaamua awatimue kisa tu wameenda tofauti na maagizo yake nikaona hapa kuna tatizo kiongozi kama Mbowe hataki kufanya maamuzi ya busara kisa tu atachekwa na CCM na kina kigogo wanaomuongoza kwenye mitandao nikasema basi CHADEMA tuwaombee
Nimeona uzi vijana wa Ufipa wamezianzisha na kusema kuwa jana walikuwa Lumumba wamebahatika kuona malipo ya hao wabunge na posho zao nikasema kweli wajinga ndio waliwao. CCM ipange kununua watu kama kweli inanunua halafu mambo yawe wazi hivyo nikaona hii mfa maji tu haishi kutapa tapa
CHADEMA ifikie hatua na chama chenu muwe mnakisimamia ipasavyo bila hivyo msije kumlaumu mtu
Halafu asilimia kubwa ya viongozi wa CHADEMA sio wazawa wa chama hata mwenyekiti hivi wakipewa shilingi ngapi na CHADEMA mpaka wakaunga juhudi?