Uchaguzi 2020 Mbowe, nakuahidi kuwa CHADEMA hamtochukua nchi ila wewe utakosa Uenyekiti

Kwann wapinzan wa ccm hamtaki CCM iongoze nch
Hivi Mbowe akikosa Uenyekiti ATAKUFA????? Au itakuwa mwisho wa Dunia. Kwanini wapinzani wa CDM hawataki Mbowe awe Mwenyekiti?? Anaejua plz aniambie/ anielimishe
 
Mm Sio CCM wewe kinyago
Hii elimu yetu inatuangusha sana.

Huyu anaweza kuwa ni mtu mwenye digrii kabisa aliyeipata katika vyuo vyetu vikuu nchini.

Na sio ajabu yupo huko ndani ya CCM, ndio makada wategemewa watakaoisimamia hii nchi yetu!
 
Utopolo mtupu! Hivi umesoma ulichokiandika kabla ya kumruhusu wengine wasome? Uandishi wako ni mbivu kuliko mawazo yake na au vyote vinakwenda sambamba! Hujui ukitaka kuandika Nini kwa kifupi? Hizi shule za Lowassa ni tabu tupu na ndio maana mnaajiriwa na polepole kwa kutumia ukichwa panzi wenu! Hebu kajifunze kujenga hoja badala ya vioja!
 

Mbona Mbowe tu ndiyo anaongelewa hasa kama atashidwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…