Mbowe ni CCM! Amekubali vipi kumpotezea Lema, Msigwa na Lissu?

Mbowe ni CCM! Amekubali vipi kumpotezea Lema, Msigwa na Lissu?

mapessa

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2014
Posts
664
Reaction score
1,168
Inawezekana Freeman Mbowe amejiunga na CCM indirectly kutokana na his selfish ambition ya kutaka kuwa Mwenyekiti wa milele chadema.

Amekubali vipi kumpotezea Lema, Msigwa na Lissu vipi Halima ya John Heche..?

IMG_9772.jpeg
 
"FOLLOW THE MONEY"
 
Siasa haitaki kuishi kwa hofu, kama huwezi kujiamini wacha kufuatilia siasa utakufa kwa pressure.

Naona wengi wenu mnanena kwa lugha maneno ya ajabu ajabu hayana kichwa wala miguu.
 
Hujaeleweka mleta mada. Mbowe kawapotezea vipi Lisu, Msigwa, Lema na Heche?

Hata kigazeti ulichoambatanisha hujaweka habari kamili, tunaona kichwa tu.
 
Siasa haitaki kuishi kwa hofu, kama huwezi kujiamini wacha kufuatilia siasa utakufa kwa pressure.

Naona wengi wenu mnanena kwa lugha maneno ya ajabu ajabu hayana kichwa wala miguu.
Hawa Wanaccm wana kaproject kao kule Lumumba ka kujaribu kutengeneza mtafaruku cdm ili wagombane wakimtumia msigwa lakini Intel. Ya cdm iko makini
Msigwa anatulizwa kama mwambe then makamanda wanasonga mbele
 
Pamoja na madudu wanayofanya CCM serikalini ila Kuna chama cha upinzani kinaitwa Chadema hiki chama hakifai hata siku Moja kuongoza nchi hii yaani Bora kife lakini kisije ongoza hii nchi.

Ni Moja ya chama cha kitapeli ambacho tapeli mkuu ni mwenyekiti wao ambaye hataki kuachia ngazi anaitwa mbowe.

Anawadanganya wananchi yeye ni chadema kumbe usiku anabadilishana glass na vigogo wa CCM na Siri zake tunazo mbowe ni tapeli namba Moja hafai kua kiongozibna chadema yake binafsi nitapigia kula ACT WAZALENDO Moderator badilisheni ni chadema hapo mwanzo
 
Kama kusoma na kuandika hujui unadhani kuna atakayekuelewa hapa?
 
Back
Top Bottom