Mbowe ni kama Hayati Membe alivyoitwa Joka la Mdimu na Mudhihir yaani hataki Lissu awe Mwenyekiti wala mgombea Urais na yeye hataki kugombea Urais

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Mudhihir alisema majoka Yana Tabia za ajabu sana

Akatoa mfano wa Joka la Mdimu ambalo linazuia Watu wasichume ndimu wakati lenyewe halili ndimu

Mbowe mbele ya Viongozi wa dini alikataa kugombea Uenyekiti wa chadema wala Urais wa JMT lakini hataki Tundu Lisu agombee hizo nafasi

RIP Mudhihir wa Mudhihir
 
Umemuua lini tena mzee wa Mashairi Mudhihir wa Mudhihir?
Mbowe ameingia kichwa kichwa kwenye banio la Samia.
 
Back
Top Bottom