naunga mkono hojaKwanza hongera Sana Mh Mbowe
Pia hongera Kwa uongozi wako wa miaka 20 Kama mwenyekiti wa chadema na miaka 15 Kama Mbunge.
Swala la wewe kuwa mwenyekiti wa hicho chama hautaweza na ukilazimisha itakuletea madhara hasi.
Yapi madhara hasi yatatokea
Utakosa nguvu
Utakosa Sauti ya kusikika
Utapoteza reputation yako
Utakosa wanachama kabisa na waliopo wataondoka.
Nini ufanye , ikifika muda wa kugombea jaribu kujitoa , sisemi umpatie Lissu hila wewe usigombee.
Usidharau sauti za watu
Nature imeshaongea kuwa inatosha .
Kaa chini uisikilize sauti yako ya ndani.
Kwanini unamuogopa Lisu?naunga mkono hoja
hii kwa lugha nyingine muda wa kibali cha Mbowe kuwa Mwenyekiti wa Chadema umekwisha,apishe aje mwingine ila sio lazima lissu。
P
karibu Magufuli alikuwa na kibali kikafutwa! Rais ni kibali, anajitambua? Je, tumsaidie atimize matakwa ya kibali chake ili kisifutwe, au tumuachie mwenyewe?Hakika noamba unitag Uzi wako unaozungumzia kibali
Hafu jana nimeutafuta sana ule Uzi wa kibali lkn si kupata. Nitag na mm tafadhari, ila kwenye ule Uzi umethibitisha Mayala maana yake njaa(curiosity if be positive)😀😀😀😀😀😀kibali