RitzWanaukumbi.
View attachment 2219314
Freeman Mbowe atabaki kuwa na nafasi ya Pekee sana kwenye Siasa za Upinzani hapa nchini, jina lake litaishi hata asipokuwepo. Huwa hakurupuki na haongozwi na hisia bali anapeleka mambo yake kwa akili na Mipango. Viongozi Vijana wa Upinzani wana mengi ya Kujifunza toka kwa Mbowe.
Soma vizuri na uangalie kwa makini. Anawakebehi Chadema huyo.
Kikwete ni babu wa taifa! 💪Mbowe ni kaka wa Taifa
Ukiwauliza CCM Ile kesi yao ya Ugaidi hewa dhidi ya Mbowe imekuwaje wamebaki kukenua meno tuu.Wanaukumbi.
View attachment 2219314
Freeman Mbowe atabaki kuwa na nafasi ya Pekee sana kwenye Siasa za Upinzani hapa nchini, jina lake litaishi hata asipokuwepo. Huwa hakurupuki na haongozwi na hisia bali anapeleka mambo yake kwa akili na Mipango. Viongozi Vijana wa Upinzani wana mengi ya Kujifunza toka kwa Mbowe.
umeangalia hiyo video?na kumuelewa mleta mada?Mbowe ni kaka wa Taifa. Hata nyie viongozi wa CCM mna vingi vya kujifunza kwa Mh. Mbowe
Ustadhi unazingua.Wanaukumbi.
View attachment 2219314
Freeman Mbowe atabaki kuwa na nafasi ya Pekee sana kwenye Siasa za Upinzani hapa nchini, jina lake litaishi hata asipokuwepo. Huwa hakurupuki na haongozwi na hisia bali anapeleka mambo yake kwa akili na Mipango. Viongozi Vijana wa Upinzani wana mengi ya Kujifunza toka kwa Mbowe.
Hukuelewa! Alisema hawezi kwenda pekee yake Ikulu ila jana kaenda pekee yake!Kumbe Mbowe mnamkubali ndio maana huwa mnambambikia kesi.
Wanaukumbi.