Mbowe ni muhimu ukajitokeza hadharani,na useme kuwa hautagombea, bila hivyo madudu mengi yatawekwa peupe

Gabeji

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2024
Posts
1,530
Reaction score
1,903
Ni muhimu sana Mbowe atoke hadharani na aseme hata gombea vinginevyo mambo yatakuwa mengi mno ,madudu yote watanzania tutayajua, unavyozidi kuchelewa ndio siri nyingi za chadema tutazijua chini ya uongozi wako.
Mungu ibariki Tanzania by mwinjilist wenu Gabeji.
 
Huyo amekula asali na Lissu ameliona hilo na ameshikwa pabaya na anajua anae gombea nae sio mvumilivu na sio mwepesi, kwa busara ni bora akae kimya milele maana akianza tu Lissu and Co tunamalizia atakapo ishia.
 
Kwa kweli watanzania wanasubilia sana kwa hamu aseme chochote
 
nawewe unahisi kuwa hatogombea? wanaharakati uchwara jiandaeni kwenda NCCR tu
 
Back
Top Bottom