Cuba ya Moshi pale katika jiji la Hai mtaa wa kilayoko au siyo ?YYupo vzr sana, amepitia mafunzo cuba
Huyo amekula asali na Lissu ameliona hilo na ameshikwa pabaya na anajua anae gombea nae sio mvumilivu na sio mwepesi, kwa busara ni bora akae kimya milele maana akianza tu Lissu and Co tunamalizia atakapo ishia.Ni muhimu sana Mbowe atoke hadharani na aseme hata gombea vinginevyo mambo yatakuwa mengi mno ,madudu yote watanzania tutayajua, unavyozidi kuchelewa ndio siri nyingi za chadema tutazijua chini ya uongozi wako.
Mungu ibariki Tanzania by mwinjilist wenu Gabeji.
Okey mkuuSio ccm I'li apungeze tention ya CHAMA mkuu
Kwa kweli watanzania wanasubilia sana kwa hamu aseme chochoteHuyo amekula asali na Lissu ameliona hilo na ameshikwa pabaya na anajua anae gombea nae sio mvumilivu na sio mwepesi, kwa busara ni bora akae kimya milele maana akianza tu Lissu and Co tunamalizia atakapo ishia.
Tuweke wenyeviti wa ccm tokea 2004-20 na wa Saccos piaAchaneni na mambo ya CHADEMA, CCM ni lini mlitoa form ya kugombea Uenyekiti taifa? nyie UWT ni wajinga sn
Pambane na hali zenu wajinga wakubwa nyieTuweke wenyeviti wa ccm tokea 2004-20 na wa Saccos pia