Kabende Msakila
JF-Expert Member
- Oct 7, 2020
- 1,809
- 1,692
Huwa napenda wanaounga mkono au kupinga kwa ushahidi kamq wewe. Ni kweli na narudia ni kweli Parachichi moja supermarket liliuzwa 4600.Kuongea ni rahisi. Basi awatafutie wanunuzi.
Ni kweli bei inayotolewa ni ndogo lakini kuna vitu Freeman hajazingatia...
Mimi nalima Parachichi. Wakenya wameharibu sana sokoKuongea ni rahisi. Basi awatafutie wanunuzi.
Ni kweli bei inayotolewa ni ndogo lakini kuna vitu Freeman hajazingatia...
Huenda hujanielewa.Huwa napenda wanaounga mkono au kupinga kwa ushahidi kamq wewe. Ni kweli na narudia ni kweli Parachichi moja supermarket liliuzwa 4600. Kilo moja kwa maparachichi ya Njombe/Mbeya inachukua kama Parachichi 4/5 hivi. Nautafuta uongo wa Mbowe siuoni.
Mimi pia nalima. Tunawalaumu Wakenya kwa uzembe wetu wenyewe sisi Watanzania.Mimi nalima Parachichi. Wakenya wameharibu sana soko
Shida anafanisha bei ya hapa na ya huko duniani.Kanda ya ziwa tu tunauziwa parachichi moja 500,Apple 1000.
Yatajulia wapi majitu primitive ambayo hata kama hayana opportunities za kutoka nje na kujifunza hayataki?Unaijua bei parachichi moja supermarkets za US?
UONGOParachichi hufanyiwa processing na kuuzwa ile end product mara chache parachichi huuzwa lenyewe kama lenyewe