Mbowe ni muongo, wapi kilo ya parachichi huuzwa kwa Tshs 20,000?

Una hata bustani? Mbowe ni mkulima? Wewe zaidi ya kushinda kqenye mitandao ya kijaamii kuabudu wanaume wenzako kuna unacho jua?
 
Usibishe ndugu kwakuwa tu aliyesema ni mpinzani wako kisiasa. Parachichi moja lile lenye vipele huuzwa kuanzia USD 2.5 huko UK. Sasa unadhani kilo moja ina maparachichi mangapi? Tatizo umejifungia Kakonko kwenye maparachichi ya kienyeji yanayouzwa shs 100 mpaka 200 kwa parachichi moja. Katika muktadha huo, lazima umshangae Mbowe.
 
Sijaona point yako.
 
Kama hujui uliza,hii dunia kuikatisha tuu ni masaa zaidi ya 18,sasa wewe Kaa hapo ukiona jua linazama ukazani hapo ndo mwisho
 
Hata ndizi kilo moja inaweza fika hiyo bei, kama ndizi itauzwa dola 1,
Hiyo ni tofaiti ya exchange rate,,
Mfano newyork unaweza pata coca ni dola 3,, sawa na sh 7500,wakati soda bongo ni sh 500..
Sasa mbowe alitaka parachichi iuzwe bei hiyo dar?
 
Hivi Kabende umewahi hata kuuza Mapera ?
 
Unakataa nini mbona ndo bei ya soko la dunia kama unge google usinge post maada hii.
 
Parachichi hufanyiwa processing na kuuzwa ile end product mara chache parachichi huuzwa lenyewe kama lenyewe
Hauna akili jombaa. Parachichi inauzwa kama ilivyo. Hiyo end product ni nn?
 

Sasa hapo kama Mbowe unataka afanye nini?

Wakulima wamegutushwa tayari. Serikali sasa ndiyo ina wajibu kuhakikisha wakulipa wanapewa msaada katika uzalishaji wa parachichi.

Mbegu bora, mbolea na wataalam wa kilimo kuwafundisha na kufuatilia uzalishaji.

Lakini pia kuweka mazingira wezeshi hawa wakulima wapate mikopo benki ili kuboresha na kuongeza uzalishaji pamoja na uhifadhi.

Kutafuta masoko kupitia hizi bilateral agreements na kupunguza msululu kodi na gharama za usafirishaji.

Lakini Bei kwa kilo sio 400, inaanzia 1,200 hadi 2,200 kutegemea na kipindi cha mavuno na ubora wake.
 
Ni muongo KULIKO yule yuko kuzimu Tanzania ya viwanda?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…