Mbowe ni muongo, wapi kilo ya parachichi huuzwa kwa Tshs 20,000?

Wewe hata Kigoma mjini hujawahi kufika.
 

Imeandikwa wapi hii?

Maandiko Matakatifu yanasema watu wa MUNGU wanateseka kwa kukosa maarifa"

Hivi Mbowe anatangaza Injili au mwanasiasa? Wanasiasa wote duniani ni waongo, na hawatumii Biblia.
 
Ndugu Kabende, Kiongozi mwenye busara, anapo wapa wananchi taarifa, huwa kwanza anazifanyia research taarifa zake, Na Mbowe ni kiongozi makini. Kuhusu PARACHICHI, nakuwekea links hapa chini za huku Dubai utaona bei tafauti za parachichi, bei zao ziko AED na 1AED=$3.67, Basi utabidilisha mwenyewe alafu jumlisha kwa rate ya TS ujue bei ya hilo zao.

MBOWE AMESEMA UKWELI KUHUSU BEI YA AVOCADO
 
Kilo 1 parachichi la Mexico kubwa haswa sio hivyo km ngumi ni dola 10.
Hizi parachichi za Kenya kilo ni 2.5.
Shida kwetu iko ktk usafirishaji - nimeuliza juzi kontena la 40ft kwenda Quingbao China gharama zake ni mkasi
 
Unamaanisha nini kaka mkubwa - si mgeni ktk mikoa yote ya Tanzania na agharabu nchi za EA
Hakuna uliko tembea wewe ungekua umetembea usingeshanga kg kua 20000 ni bei ya dunia kwa sasa Acha ubishi azima smatphone u google watanzania tutakua sikuzote tunashangaza,watu wananunua bei hiyo we unashangaa nini ukiambia hujatembea unabisha, hivi wewe umewahi kunywa juice glass 20000 hapa Tanzania?
 
Ungekuwa umeutendea haki uzi wako, kama ungetoa bei mbalimbali za maparachichi katika masoko ya dunia. Vinginevyo, thread yako inaonekana kuwa ni rubbish
 
Ujinga na umasikin ndio mtaji wa CCM!! Imagine mtu kama ww unakuja Jf kutoa milio eti muongo 🤣🤣 kama una akili kwel ulipaswa ulete evidence huko nje parachichi linauzwaje kwa kilo!! Hapo ungepingana na Mbowe kwa facts nasi tungemuona ni mpotoshaji. Btw wewe hapa ndie mpotoshaji!!!
 
We tangu amezaliwa umewahi kwenda hata Zanzibar?
dunia kwa sasa iko kiganjani.na hakuna kunakouzwa kilo moja ya parachichi kwa shilingi 800/=.mm najua parachichi moja si chini ya shilingi 500/=.tuache kupotosha watu.tunadanganywa hata bei ya vitu tunavyovijua bei yake!kwa manufaa ya nani?waongee mambo ya kujenga nchi na si ya uongo.wananchi kwa sasa ni waelewa mno ila watu wanataka kuwafanya wajinga.
 
Wewe mwenyewe huna hizo takwimu na sio mlima Wala mfanyiBiashara hiyo.

Unejilipua tu hapa.
Mkuu takwimu ni field yangu, na kilimo cha kibiashara zao la avocado ni kazi yangu - changamoto za humu nazijua vizuri kuliko Mbowe wa Dubai
 
Aki mbowe ni kichwa maji nilikuwa najua ana akili kumbe zero brain sasa utapigaje mahesabau ya dollar kwa ela ya tz iyo 20 dollar kwa America sio kitu anazani usafirishaji ukakguaji hadi bidhaa ifike nje ni rahisi? Ingekuwa ivyo hata mimi siningebeba ayo maparachichi nije kuuza huku nilipo? Anaongea nonsense.
 
Kama hujatembea ishia kushangaa tu.
 
Wakulima wa Kenya wanasema mti mmoja wa avocadro unamlipia mtoto ada ya sekondari ya private, sisi mti mmoja hata viatu hununui, kuna kitu hakipo sawa, wakenya wanakuja kununua kwetu ili wauze kwao, halafu ndio ikauzwe China, sidhani Kama viongozi wapo serious na mahusiano ya kibiashara ya nje. Ni mahusiano ya kisiasa tu na ya kuwapa ardhi wageni
 
Fuatilia wewe mwenzio amekupa dondoo rukia fursa hiyo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…