Mbowe ni muongo, wapi kilo ya parachichi huuzwa kwa Tshs 20,000?

Dubai mbali Nachingwea tuuu hapo parachichi Elfu 2000
 
Kama tu hapa Dar parachichi moja linafika buku jero... inawezekana kuwa zaidi ya 20K.. sehemu nyingine kwa hiyo KG
 
Tembea uone. Hapo Bondeni tu parachichi moja ni Tshs 3000.
 
Nimekaa scotland kuna wakati wa baridi ndizi mbivu kilo ilikuwa kibongo 12,000/-. Fala hajatembea nje anashangaa parachichi?? Na zakule sio hizi zakilofa ni parachichi special sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…