Mbowe ni mwepesi sana Kwenye Chaguzi za Ndani, aliwaogopa Zitto, Chacha Wangwe na Sumaye Sidhani kama atamweza Tundu Lisu 🐼

Mbowe ni mwepesi sana Kwenye Chaguzi za Ndani, aliwaogopa Zitto, Chacha Wangwe na Sumaye Sidhani kama atamweza Tundu Lisu 🐼

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Nawaza tu maana sikumbuki uchaguzi ambao Freeman Mbowe aliwahi Kushinda kiushindani Kwenye Chaguzi za Ndani

Hata tulipokuwa Bavicha aliteuliwa tu na Mzee Shanga kuwa Mwenyekiti wa Bavicha Taifa hatukuwahi kumpigia Kura

Lisu anaweza Kushinda 21 January

Jumaa Mubarak 😀

Merry Christmas 🌹
 
Ila safari hii ameyatimba kwani kama atalazimisha kuchaguliwa kwa ushawishi wa ukwasi wake na colabo anayofanya na timu Kizimkazi ajue chama kitampalia kwani wengi wa wanachama wa kawaida na washabiki wa Chadema ambao ndiyo wapiga kura kwenye uchaguzi mkuu wataisusa Chadema tuone kama hao wajumbe 1200 wa mkutano mkuu watampatia madiwani na wabunge na kura za urais ambazo ndiyo zitaleta ruzuku. Labda kama hiyo dhana ya nusu mkate itatumika vinginevyo hata CUF ya Lipumba itakuwa na afadhali.
 
Nawaza tu maana sikumbuki uchaguzi ambao Freeman Mbowe aliwahi Kushinda kiushindani Kwenye Chaguzi za Ndani

Hata tulipokuwa Bavicha aliteuliwa tu na Mzee Shanga kuwa Mwenyekiti wa Bavicha Taifa hatukuwahi kumpigia Kura

Lisu anaweza Kushinda 21 January

Jumaa Mubarak 😀

Merry Christmas 🌹
Ulikuwa umezaliwa wewe?
 
Back
Top Bottom