#COVID19 Mbowe ni nani hadi atangaze vifo vya wagonjwa wa Corona?

Samia hana nia ya dhati kabisa kupambana na corona ukiangalia mienendo yake

Yaani unakusanya watu morogoro na kuwaambia wasikusanyike?

Kama ni ujinga basi huu ni ujinga kiwango cha PhD

Huyu na magu nani mwenye nia ya dhati kupambana na corona? Na nani raisi wa wanyonge kama sio huyu mama! Magu amezuia chanjo, na kuidharau corona mkamsema sana, na wengine walimpongeza na kuamini corona ameikomesha....ni upuuzi mtupu wa kuamini corona haipo wakati takwimu zenyewe hazitolewi!


Huyu mama anajitahidi kupambana na hili janga na kuwaletea chanjo ili kila mtu apate kwa hiari yake na sio lazima....sasa wewe unasema hana nia ya dhati 😄 watanzania bwana!
 
Hahahahahaha......zama za ukiritimba wa habari za Corona zilishapita. We bado umekariri utaratibu wa kizamani wakati mkidanganya watu na ulimwengu kuwa hatuna Corona!!?? Sasa ni zama za uwazi na ukweli.
 
yeye hakuenda dubai kuchanjwa?
 
Alitokaje kuwa na wabunge 100 hadi kubaki mmoja?
Unaamini kwa dhati na hakika kuwa wabunge walipungua kwa kutopigiwa kura? Genge la Mwijage/Mahera na jiwe ni haramu no.1 lililoratibu ubatili.
 

Nikadhani wewe ni smart ungekuja na nguvu ya hoja ili kumwelimisha mtoa mada kumbe na wewe bure tu.
 
Yaani kutadhalisha watu wasije wengi kuzika kwa marehem kufa kwa Corona ni kutumia kifo kisiasa siyo. Ndiyo tatizo la kuwa na ubongo ulio mapooza
Yani kashindwa kumtahadharisha ndugu yake kwa kumshauri nae akadungwe Astrazeneca kama yeye Mbowe ndio aje kututahadharisha sie wengine? Muhimu waliyokuwa wanaishi na marehemu wawekwe karantini tu.
 
Yani kashindwa kumtahadharisha ndugu yake kwa kumshauri nae akadungwe Astrazeneca kama yeye Mbowe ndio aje kututahadharisha sie wengine? Muhimu waliyokuwa wanaishi na marehemu wawekwe karantini tu.
Hahaha umemlenga
 
Katika suala la corona JPM atabaki kuwa mwanaume wa karne. Alisema watanzania fanyeni kazi, musiwe na hofu. Magonjwa yako mengi na yanaua watu.
Tulifika mahali daktari anaogopa wagonjwa, mgonjwa analetwa daktari anakimbia. Kile kipindi wangekufa watu wengi wengi sana, lakini bila hofu tulipita katika lile jangwa. Mwanaume ni yule anayewaambia watu wake twendeni vita hii tutashinda Mungu yuko hai.
 
 
Huu ni ujinga wa kiwango cha juu sana.
Ifike mahali hapa jf kuwekwa kwa makundi kulingana na
Umri
Elimu zetu
Upambanuzi wa mambo nk
Haiwezekani watu wenye mawazo finyu kama huyu ati nao toshiriki nao mijadala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…