#COVID19 Mbowe ni nani hadi atangaze vifo vya wagonjwa wa Corona?

#COVID19 Mbowe ni nani hadi atangaze vifo vya wagonjwa wa Corona?

Nimekutana na video ya Freeman Mbowe mitandaoni akitangaza msiba wa kaka yake Charles Mbowe kuwa amefariki kwa ugonjwa wa Corona!

Swali Mbowe amekuwa nani wa kutangaza magonjwa ya Corona?

Agizo lilipo mpaka sasa ni kwamba ugonjwa wa Corona utaongelewa na kutangazwa na

1. Waziri mkuu
2. Rais
3. Waziri wa afya
4. Madaktari

Je, Mbowe ni nani kati ya hao?

Licha ya hivyo Mbowe haaminiki mbele ya uma wa Tanzania tokea siku ile alipoangushwa na konyagi alafu akaitangazia dunia kuwa amepigwa na wasiojulikana ili tu apate kiki kisiasa.

View attachment 1846603
Kwani wewe ni nani mpaka kuoji ya Mbowe,
 
Mbona ndugu wengi tu wa wanasiasa wa CCM wamefariki na hamna uspecial huo?
 
Anyone haki ni kaka yake. Na kwa hili amekuwa mkweli, hata Mama Samia ametangaza ugonjwa upon mikoani
 
Mwenzio anawafurahisha mabeberu.
Anaona sifa kutaja corona angekuwa kafab kwa kuharisha asinge taja.
Isije kuwa kuwa side effect ya chanjo.
La Mwendazake alipotwaliwa kambi hiii ilitoa kile neno kinywani na kuonekana wa maana.
 
Samia hana nia ya dhati kabisa kupambana na corona ukiangalia mienendo yake

Yaani unakusanya watu morogoro na kuwaambia wasikusanyike?

Kama ni ujinga basi huu ni ujinga kiwango cha PhD
Mnona mwenyekiti wenu amezunguka tanganyika na zanzibar akiwa na nyomi ya watu na mwishowe kaka yake kaondoka na huo ugonjwa hamsemi chochote?
 
Masalia ya mwendazake yanahangaika sana.
 
Mwenzio anawafurahisha mabeberu.
Anaona sifa kutaja corona angekuwa kafab kwa kuharisha asinge taja.
Isije kuwa kuwa side effect ya chanjo.
Wengi wanaofariki kwa UVIKO na wale wenye kinga hafifu jasa waishio mijini (wafanyakazi serikalini, umma, binafsi, wafanyabiashara wakubwa na wakati, mashirika ya kujitolea yenye ufadhili kutoka nje ya nchi

Wanaoshinda juani ama wakiwa wanafanyakazi mbalimbali za kiutendaji na biashara ni ngumu sana kudhoofishwa na UVIKO hata hilo wimbi linalojulikana kama 'delta wave' wanastahimili. Vijijini ndio wanadunda vilivyo kwa kulingana na mazingira za maisha na shughuli zao.

Tahadhari zichukuliwe na kila mmoja ndio lakini sio kuwatia wananchi hofu maana ukifanya hivyo huwa inachangia kushusha kinga ya mwili.
 
Mnona mwenyekiti wenu amezunguka tanganyika na zanzibar akiwa na nyomi ya watu na mwishowe kaka yake kaondoka na huo ugonjwa hamsemi chochote?
Kwa misingi hiyo ameenda kuwaambukiza wtanzania wengi sana kama amekiri nduguye kafa kwa UVIKO. Kwanini anaendelea kufanya ziara zinazokusanya watu wengi tena bila kuchukua tahadhari halafu anajinasibu ni mwakilishi mzuri wa kuzuia maambukizi?

Familia hiyo tangu UVIKO uingie Machi 2020 uluchukua tahadhari zote na inawezekana kabisa hata chanjo alipata lakini haijamsaidia chochote.

'Majuto Mjukuu'
 
Masalia ya mwendazake yanahangaika sana.
Mkuu

Ulipiga kelele kuhusu barabara ya Lusahunga huko Ngara kuelekea Rwanda ilishatengenezwa?

Usijipe moyo kwamba masalia ya mwendazake kama unavyoita yanahangaika sana ukidhani kwamba mtawazima; hicho kitu hakiwezekani.

Waliapishwa kwa Yasmini bila nguvu kutetea kile ambacho kinaenda kinyume na unavyotaka.

'The Spirit is Revolving, Propelling and shall Prevail towards the end of times'
 
Nimekutana na video ya Freeman Mbowe mitandaoni akitangaza msiba wa kaka yake Charles Mbowe kuwa amefariki kwa ugonjwa wa Corona!

Swali Mbowe amekuwa nani wa kutangaza magonjwa ya Corona?

Agizo lilipo mpaka sasa ni kwamba ugonjwa wa Corona utaongelewa na kutangazwa na

1. Waziri mkuu
2. Rais
3. Waziri wa afya
4. Madaktari

Je, Mbowe ni nani kati ya hao?

Licha ya hivyo Mbowe haaminiki mbele ya uma wa Tanzania tokea siku ile alipoangushwa na konyagi alafu akaitangazia dunia kuwa amepigwa na wasiojulikana ili tu apate kiki kisiasa.

View attachment 1846603
Huko mbeleni utakuja kuwa mchawi wewe, aliekuwa nawatia ujinga yuko adrdhini sasa hivi anaongea na kifusi,
 
Mkuu

Ulipiga kelele kuhusu barabara ya Lusahunga huko Ngara kuelekea Rwanda ilishatengenezwa?

Usijipe moyo kwamba masalia ya mwendazake kama unavyoita yanahangaika sana ukidhani kwamba mtawazima; hicho kitu hakiwezekani.

Waliapishwa kwa Yasmini bila nguvu kutetea kile ambacho kinaenda kinyume na unavyotaka.

'The Spirit is Revolving, Propelling and shall Prevail towards the end of times'
Uko vizuri mkuu
 
Muulize rais wako aliyetuma salamu za rambirambi
Si mlikuwa mnamtukana Magufuli?

Si mlisema mama anaupiga mwingi na sasa ufipa mnapumua?

Season ya nyumbu migration imeanza rasmi
 
Mleta mada tafute mume umri unakwenda na akili zako zinaisha kwa kasi sana.!
 
Back
Top Bottom