mwanateknolojia
JF-Expert Member
- Nov 17, 2014
- 1,026
- 1,749
Acha kuchonganisha watu! Yeye katangaza msiba wa kaka yake wewe unasema katangaza wagonjwa wanaokufa na sasa ulitaka afiche ugonjwa ulomuua nduguye ili iweje? Kama mtu kapewa mamlaka kama msemaji wa familia huwezi tangaza msiba wa mtu bila kutaja chanzo chake!
Tujiepushe na uchochezi na uchonganishi zama zake zimeshapita!
Tujiepushe na uchochezi na uchonganishi zama zake zimeshapita!