Mbowe ni Profesa wa Siasa

Mbowe ni Profesa wa Siasa

Mzalendo120

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2022
Posts
1,842
Reaction score
2,410
Habari wanajukwaa, sitaki kuandika sana.

Nimeangalia kongamano la BAWACHA ambalo Mgeni Rasmi alikuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan.

Mbowe ameeleza mazito magumu waliyopitia, lakini amesamehe.

Ila karata aliyoicheza inatosha kumuita Profesa wa Siasa.
 
Hahahaha

sasa hivi wapinga asali wanaitwa Wahafidhina

sasa hivi matusi kwa Zitto yatapungua kiasi maana sio tu wameafuata nyayo zake bali wamemzidi kabisa maana .Mgombea Urais wa CCM 2025 katangaza kugombea Urais kwny Jukwaa la Chama kikuu cha Upinzani na tangazo hilo likapokelewa kwa vifijo na nderemo
 
Nakubakiana nawe. Kwenue hii list ya Shahada ya Udaktari wa Heshima na Lissu asikise.

Kazi kwenu UDSM
Bwana mbowe kama angekua mtu wa mihemko sijui ingekuaje katika ongea yake. Hii nikutokana na panda shuka nyingi alizopitia kisiasa

Anacho kiwango kikubwa cha uvumilivu
Wanaopinga wapo na watakuja hapa
 
Habari wanajukwaa, sitaki kuandika sana.

Nimeangalia kongamano la BAWACHA ambalo Mgeni Rasmi alikuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan.

Mbowe ameeleza mazito magumu waliyopitia, lakini amesamehe.

Ila karata aliyoicheza inatosha kumuita Profesa wa Siasa.
Kabisa Mbowe ana kipaji kikubwa cha uongozi, 2025 aombwe agombee urais.
 
Habari wanajukwaa, sitaki kuandika sana.

Nimeangalia kongamano la BAWACHA ambalo Mgeni Rasmi alikuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan.

Mbowe ameeleza mazito magumu waliyopitia, lakini amesamehe.

Ila karata aliyoicheza inatosha kumuita Profesa wa Siasa.
Unaweza kumpa huo u-Profesa kwani walikuwepo akina Professor Maji Marefu naye alikuwa bungeni kama sikosei.
 
Back
Top Bottom