Mzalendo120
JF-Expert Member
- Jul 2, 2022
- 1,842
- 2,410
Kweli kabisa nadhani watafanya hivyoUdsm wangempa Mbowe udaktari wa heshima kwenye fani ya siasa mwamba anadeserve
Nakubakiana nawe. Kwenue hii list ya Shahada ya Udaktari wa Heshima na Lissu asikise.Udsm wangempa Mbowe udaktari wa heshima kwenye fani ya siasa mwamba anadeserve
Bwana mbowe kama angekua mtu wa mihemko sijui ingekuaje katika ongea yake. Hii nikutokana na panda shuka nyingi alizopitia kisiasaNakubakiana nawe. Kwenue hii list ya Shahada ya Udaktari wa Heshima na Lissu asikise.
Kazi kwenu UDSM
Kabisa Mbowe ana kipaji kikubwa cha uongozi, 2025 aombwe agombee urais.Habari wanajukwaa, sitaki kuandika sana.
Nimeangalia kongamano la BAWACHA ambalo Mgeni Rasmi alikuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan.
Mbowe ameeleza mazito magumu waliyopitia, lakini amesamehe.
Ila karata aliyoicheza inatosha kumuita Profesa wa Siasa.
Unaweza kumpa huo u-Profesa kwani walikuwepo akina Professor Maji Marefu naye alikuwa bungeni kama sikosei.Habari wanajukwaa, sitaki kuandika sana.