Mbowe ni Wakala wa Siasa – CHADEMA Sio Mali ya Familia Yako!

Chadema ni Mali ya Mbowe na familia yake. Akitaka muda wowote anaichukua.
Mda upi? Pesa zote za chama aliiza Mbowe ni mwizi sana ndiyo maana wezi wenzake kaenda kuwasokomeza kwa chauma ubwabwa kapiga pesa wamegawana na makala makala sasa wanangojea kigaila amuue mzee Rungwe kwa pressure maana chauma ubwabwa kitakuwa chama cha majungu
 
Huku kigaila mzee wa Roho mbaya majungu na ushirikina na huku mrema mzee wa wizi ufitini chuki dhuluma na huku Salum mwalimu mzee wa uzinzi, ulaghai na Uongo mwingiii kwa hakika chauma ubwabwa kimeingiliwa na mashetani
 
Muda umefika wa kuongea bila kupepesa macho, bila kupaka mafuta kwenye sufuria chafu. CHAUMA sasa inageuka kuwa jalala la kisiasa, bandari ya masaliti, sehemu ya watu waliotimuliwa kwa sababu ya tamaa zao binafsi na sasa wanakimbilia huko kama paka waliomwagiwa maji moto. Sasa, nasikia eti baadhi ya “former comrades” wanakimbilia huko kwa kivuli cha "maslahi ya taifa" kumbe wanatafuta tumbo, posho na pa kusema “I’m still relevant bro” – ni aibu!

Wanachama wa CHADEMA waliotumikia kwa muda lakini walipokosa madaraka wameamua kuhama na kujifanya eti wako na vision mpya. What vision? A fake-ass vision ya kujaza mifuko yao na kutimiza tamaa zao. Na sasa, big shocker, Mbowe mwenyewe anaanza kuvuta miguu kuelekea CHAUMA – nigga please! Hii siyo family business bro. CHADEMA sio kampuni ya Mbowe and Sons Ltd!

Huyu jamaa kwa muda mrefu amekuwa akilazimisha CHADEMA iende kwa mdundo wake, kama DJ wa harusi ambaye hajui watu wanataka kucheza nini. Lakini game imebadilika. Vijana wa leo tumeamka. Huwezi kuzuia The people’s wave. Tundu Lissu is the future. He's the real one – mtu mwenye maono, mwenye moyo, na anayejua siasa siyo urithi wa kifamilia. Mbowe hakutaka Lissu awe mwenyekiti kwa sababu ya wivu. Straight-up jealousy. Hii ni kama Macbeth ya Shakespeare alivyotaka madaraka kwa gharama yoyote – hata kuuza roho yake.

Now tell me this: kwa nini mtu aliyetawala chama kwa miongo anapigwa challenge kidogo tu, anaruka kama mjusi aliyekanyaga moto? Dude acting like he got the monopoly on leadership. But guess what? It’s a new era. Na kwa mara ya kwanza katika historia, watu wataamini kuwa nguvu ya wananchi haizuiliki. Lissu will win. Period.

CHAUMA siyo jukwaa la mabadiliko bali ni parking ya wasaka fursa. It's like a drive-thru for washed-up politicians. Wanakuja na “big plans” kumbe wana agenda za kujiweka mezani kwenye system. Lakini sisi tumeamka – vijana wa mtaani, wasomi wa vyuoni, wakulima wa vijijini – tumesema NO! Hatutakubali kuuza matumaini yetu kwa bei ya kutupwa.

Mbowe amekuwa kama Michael Corleone aliyekataa kuachia uongozi hata baada ya muda wake kuisha. He’s the political godfather anayetaka kila kitu kiende kwa matakwa yake. Lakini chama siyo mafia family bro – hii ni demokrasia!

Kwa hiyo, kwa wale wote wanaotaka kuhamia CHAUMA, tafadhali enda. Tunawatakia safari njema, lakini mtakuta jua linawaka huko. Siasa siyo uwanja wa familia wala siyo mahali pa kulia kama mtoto aliyenyimwa pipi. CHADEMA itaendelea kusimama – kama nguzo ya matumaini, kama taa ya mabadiliko. Na hatutasimama mpaka tufike kwenye kilele cha mafanikio.

History is in the making. Lissu will rise, and CHADEMA will shine – with or without traitors!

there u are, prof
 
Kwani mbowe anahusikaje?
 
Na hapo bado Mbowe hajaongea lolote mnamsema hivi,akiongea sijui mtakua na hali gani,si mtaparaganyika nyie?

Mtu yupo zake kimya mnamusema vibaya hivi 🙆
 
Mda upi? Pesa zote za chama aliiza Mbowe ni mwizi sana ndiyo maana wezi wenzake kaenda kuwasokomeza kwa chauma ubwabwa kapiga pesa wamegawana na makala makala sasa wanangojea kigaila amuue mzee Rungwe kwa pressure maana chauma ubwabwa kitakuwa chama cha majungu
Ni mwizi ila mnaogopa kumpeleka mahakamani. Kenge nyie!
 
Muda umefika wa kuongea bila kupepesa macho, bila kupaka mafuta kwenye sufuria chafu. CHAUMA sasa inageuka kuwa jalala la kisiasa, bandari ya masaliti, sehemu ya watu waliotimuliwa kwa sababu ya tamaa zao binafsi na sasa wanakimbilia huko kama paka waliomwagiwa maji moto. Sasa, nasikia eti baadhi ya “former comrades” wanakimbilia huko kwa kivuli cha "maslahi ya taifa" kumbe wanatafuta tumbo, posho na pa kusema “I’m still relevant bro” – ni aibu!

Wanachama wa CHADEMA waliotumikia kwa muda lakini walipokosa madaraka wameamua kuhama na kujifanya eti wako na vision mpya. What vision? A fake-ass vision ya kujaza mifuko yao na kutimiza tamaa zao. Na sasa, big shocker, Mbowe mwenyewe anaanza kuvuta miguu kuelekea CHAUMA – nigga please! Hii siyo family business bro. CHADEMA sio kampuni ya Mbowe and Sons Ltd!

Huyu jamaa kwa muda mrefu amekuwa akilazimisha CHADEMA iende kwa mdundo wake, kama DJ wa harusi ambaye hajui watu wanataka kucheza nini. Lakini game imebadilika. Vijana wa leo tumeamka. Huwezi kuzuia The people’s wave. Tundu Lissu is the future. He's the real one – mtu mwenye maono, mwenye moyo, na anayejua siasa siyo urithi wa kifamilia. Mbowe hakutaka Lissu awe mwenyekiti kwa sababu ya wivu. Straight-up jealousy. Hii ni kama Macbeth ya Shakespeare alivyotaka madaraka kwa gharama yoyote – hata kuuza roho yake.

Now tell me this: kwa nini mtu aliyetawala chama kwa miongo anapigwa challenge kidogo tu, anaruka kama mjusi aliyekanyaga moto? Dude acting like he got the monopoly on leadership. But guess what? It’s a new era. Na kwa mara ya kwanza katika historia, watu wataamini kuwa nguvu ya wananchi haizuiliki. Lissu will win. Period.

CHAUMA siyo jukwaa la mabadiliko bali ni parking ya wasaka fursa. It's like a drive-thru for washed-up politicians. Wanakuja na “big plans” kumbe wana agenda za kujiweka mezani kwenye system. Lakini sisi tumeamka – vijana wa mtaani, wasomi wa vyuoni, wakulima wa vijijini – tumesema NO! Hatutakubali kuuza matumaini yetu kwa bei ya kutupwa.

Mbowe amekuwa kama Michael Corleone aliyekataa kuachia uongozi hata baada ya muda wake kuisha. He’s the political godfather anayetaka kila kitu kiende kwa matakwa yake. Lakini chama siyo mafia family bro – hii ni demokrasia!

Kwa hiyo, kwa wale wote wanaotaka kuhamia CHAUMA, tafadhali enda. Tunawatakia safari njema, lakini mtakuta jua linawaka huko. Siasa siyo uwanja wa familia wala siyo mahali pa kulia kama mtoto aliyenyimwa pipi. CHADEMA itaendelea kusimama – kama nguzo ya matumaini, kama taa ya mabadiliko. Na hatutasimama mpaka tufike kwenye kilele cha mafanikio.

History is in the making. Lissu will rise, and CHADEMA will shine – with or without traitors!
Ya CHAUMMA waachieni wenyewe.
Kwani yenu huko CDM hayawatoshi mpk kutwa kucha mhangaike na CHAUMMA!?
 
Mbowe chama kawaachia na madaraka amekupeni ! Hatujamsikia akisema neno lolote baya wala zuri juu ya Lisu na chadema mpya!
Alishafika gerezani kumsalimia Lisu!
Kwanini msimuache akapumzika na familia yake huku akiboresha biashara zake?!
Dhambi ya Mbowe ni nini?!
Baada ya uchaguzi wenu si alikubali kuwa kashindwa na kumpongeza Lisu kwa ushindi wake wa 51.8%?!
Hajawasema mnapiga kelele akianza kusema si mtapata ,atumbo ya kuharisha?!
YAANI MNAKERA SANA,! UTADHANI CHADEMA WAMEBAKI MADEMU WATUPU NDIO MAANA HAMUISHI MIPASHO.!
MBOWE NI WA KUPIGA MAWE KWA KULAGAI VIJANA WA KITANZANI KWA ZAIDI YA MIAKA ISHIRINI
 
Back
Top Bottom