Mbowe ni Wakala wa Siasa – CHADEMA Sio Mali ya Familia Yako!

Chadema ni Mali ya Mbowe na familia yake. Akitaka muda wowote anaichukua.
Mda upi? Pesa zote za chama aliiza Mbowe ni mwizi sana ndiyo maana wezi wenzake kaenda kuwasokomeza kwa chauma ubwabwa kapiga pesa wamegawana na makala makala sasa wanangojea kigaila amuue mzee Rungwe kwa pressure maana chauma ubwabwa kitakuwa chama cha majungu
 
Huku kigaila mzee wa Roho mbaya majungu na ushirikina na huku mrema mzee wa wizi ufitini chuki dhuluma na huku Salum mwalimu mzee wa uzinzi, ulaghai na Uongo mwingiii kwa hakika chauma ubwabwa kimeingiliwa na mashetani
 

there u are, prof
 
Kwani mbowe anahusikaje?
 
Na hapo bado Mbowe hajaongea lolote mnamsema hivi,akiongea sijui mtakua na hali gani,si mtaparaganyika nyie?

Mtu yupo zake kimya mnamusema vibaya hivi 🙆
 
Ni mwizi ila mnaogopa kumpeleka mahakamani. Kenge nyie!
 
Ya CHAUMMA waachieni wenyewe.
Kwani yenu huko CDM hayawatoshi mpk kutwa kucha mhangaike na CHAUMMA!?
 
MBOWE NI WA KUPIGA MAWE KWA KULAGAI VIJANA WA KITANZANI KWA ZAIDI YA MIAKA ISHIRINI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…