Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amesema atapokea matokeo ya kushindwa katika kinyang'anyiro cha uenyekiti endapo wapigakura watasema hatoshi na atarudi kwenye biashara zake.
Mbowe amesema hayo leo Ijumaa, Januari 10, 2025 alipohojiwa katika kipindi cha Power Breakfast kinachorushwa na kituo cha televisheni cha Clouds.
"Katika legacy ambayo nataiishi ni demokrasia, mfano tunakwenda kwenye uchaguzi ndoto yangu na naomba iwe utakuwa uchaguzi huru kabisa, na utakuwa mubashara hakuna kitakachofanyikia chumbani," amesema Mbowe:
"Baada ya hiyo process (mchakato) wapigakura halali wakisema mwenyekiti Mbowe hatoshi akapumzike nitawashukuru na nitamkumbatia aliyenishinda nitampongeza na nitamtakia heri katika kukiongoza chama chetu na nikitoka hapo narudi kwenye biashara zangu."
Pia, Soma: