Pre GE2025 Mbowe: Nikishindwa uchaguzi narudi kwenye biashara zangu

Pre GE2025 Mbowe: Nikishindwa uchaguzi narudi kwenye biashara zangu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mbowe aache kupotosha umma. CHADEMA ni mojawapo ya biashara zake... anavyoiacha anamwachia nani? Mnyampaa ana uzoefu gani wa kuendesha SACCOSS hadi akabidhiwe uongozi? Baba mkwe atamlaani kwa kuua biashara ya familia.
 
Kamati zake za Roho mbaya z ikiongozwa na Mdee, Boniface, wenje, Sugu na Wilium mungai wapo budy kuandaa uchakachuaji jinsi ya kuiba kura pasipo Upande wa Lisu kuwabainie, Mbowe anagawa pesa kwa Wajumbe kama mvua kuhakikisha uenyekiti unasalia kwake
Mzee Mdee si aliisha banduliwa?
 
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amesema atapokea matokeo ya kushindwa katika kinyang'anyiro cha uenyekiti endapo wapigakura watasema hatoshi na atarudi kwenye biashara zake.
View attachment 3197452
Mbowe amesema hayo leo Ijumaa, Januari 10, 2025 alipohojiwa katika kipindi cha Power Breakfast kinachorushwa na kituo cha televisheni cha Clouds.

"Katika legacy ambayo nataiishi ni demokrasia, mfano tunakwenda kwenye uchaguzi ndoto yangu na naomba iwe utakuwa uchaguzi huru kabisa, na utakuwa mubashara hakuna kitakachofanyikia chumbani," amesema Mbowe:

"Baada ya hiyo process (mchakato) wapigakura halali wakisema mwenyekiti Mbowe hatoshi akapumzike nitawashukuru na nitamkumbatia aliyenishinda nitampongeza na nitamtakia heri katika kukiongoza chama chetu na nikitoka hapo narudi kwenye biashara zangu."

Pia, Soma:

Sasa aache kuwagawia hawa vidampa wake ile b12 aliyovuta kwa bimkubwa ili akaongeze mtaji kwenye biashara zake hawa kina Yericko na wenzake aachane nao kabisa gari ya Lissu imeshachanganya.
 
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amesema atapokea matokeo ya kushindwa katika kinyang'anyiro cha uenyekiti endapo wapigakura watasema hatoshi na atarudi kwenye biashara zake.
View attachment 3197452
Mbowe amesema hayo leo Ijumaa, Januari 10, 2025 alipohojiwa katika kipindi cha Power Breakfast kinachorushwa na kituo cha televisheni cha Clouds.

"Katika legacy ambayo nataiishi ni demokrasia, mfano tunakwenda kwenye uchaguzi ndoto yangu na naomba iwe utakuwa uchaguzi huru kabisa, na utakuwa mubashara hakuna kitakachofanyikia chumbani," amesema Mbowe:

"Baada ya hiyo process (mchakato) wapigakura halali wakisema mwenyekiti Mbowe hatoshi akapumzike nitawashukuru na nitamkumbatia aliyenishinda nitampongeza na nitamtakia heri katika kukiongoza chama chetu na nikitoka hapo narudi kwenye biashara zangu."

Pia, Soma:

Iwe kweli aende kwenye biashara zake!
 
Kwa heshima kubwa aliyokwishajijengea Mbowe, hakustahili kuondoka kwenye uongozi kwa kukataliwa. Japo ni tendo la kidemokrasia hata kuondoka kwa namna hiyo, lakini njia hiyo haileti faraja moyoni kwa mtu aliyekuwa na nafasi kama ya Mbowe.

Lakini waswahili wanasema kupanga ni kuchagua. Kama ameichagua njia hiyo, na haimpi shida moyoni mwake, haina shida maana ndiyo chaguo na matakwa ya moyo wake.
umenena vema mkuu
 
Na hilo ndio linapaswa kutokea kwa ustawi wa chadema, ushindwe ukae pembeni...tena pembeni kabisaa!!.
 
Hana washauri kabisa. Mbowe alipaswa kuachana na haya makitu. Sasa boni yai, Yeriko na ntobi watashauri nini. Nadhani pia waliobaki na mbowe watakuwa watu ambao wako kitengo. Usishangae akina ntobi ni watu wa kitengo. Pia mbowe ukimsikiliza ni kama anatamani kutoka lakini kesharamba asali
Nakubaliana na ww kwamba mwamba hana washauri smart.
Hivi kulikuwa na haraka gani ya mbowe kusema kwamba atatangaza ikiwa atagombea uenyekiti ndani ya siku 2 baada ya kuandaa igizo pale nyumbani kwake?? Ni kwann asingejipa muda say hata siku 10 kwa kuzingatia bado yupo ndani ya muda unaoruhusiwa kikatiba...hii ingempa nafasi kupima upepo halisi kwenye ground ukubalikaji wake ukose vs wagombea wengine badala ya kuwasikiliza chawa maslahi ambao ni wazi wamempotosha!
Hapa naona mbowe alikurupuka, ukweli ni kwamba mbowe hakubaliki/amechokwa kwa wanachama wengi wa kawaida, wanaomuunga mkono ni wachache!!.
 
Back
Top Bottom