Pre GE2025 Mbowe: Nikishindwa uchaguzi narudi kwenye biashara zangu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mbowe aache kupotosha umma. CHADEMA ni mojawapo ya biashara zake... anavyoiacha anamwachia nani? Mnyampaa ana uzoefu gani wa kuendesha SACCOSS hadi akabidhiwe uongozi? Baba mkwe atamlaani kwa kuua biashara ya familia.
 
Biashara zake si na CHADEMA imo humo!
Nimemshangaa sana... CHADEMA inamuingizia hela nyingi sana kupitia ruzuku, michango ya nyumbu, na makato ya wabunge wote kupitia CHADEMA wakiwemo Covid19. Na hela ya CHADEMA ni tamu sana kwa sababu haikatwi kodi.
 
Kamati zake za Roho mbaya z ikiongozwa na Mdee, Boniface, wenje, Sugu na Wilium mungai wapo budy kuandaa uchakachuaji jinsi ya kuiba kura pasipo Upande wa Lisu kuwabainie, Mbowe anagawa pesa kwa Wajumbe kama mvua kuhakikisha uenyekiti unasalia kwake
Mzee Mdee si aliisha banduliwa?
 
Sasa aache kuwagawia hawa vidampa wake ile b12 aliyovuta kwa bimkubwa ili akaongeze mtaji kwenye biashara zake hawa kina Yericko na wenzake aachane nao kabisa gari ya Lissu imeshachanganya.
 
Iwe kweli aende kwenye biashara zake!
 
umenena vema mkuu
 
Na hilo ndio linapaswa kutokea kwa ustawi wa chadema, ushindwe ukae pembeni...tena pembeni kabisaa!!.
 
Nakubaliana na ww kwamba mwamba hana washauri smart.
Hivi kulikuwa na haraka gani ya mbowe kusema kwamba atatangaza ikiwa atagombea uenyekiti ndani ya siku 2 baada ya kuandaa igizo pale nyumbani kwake?? Ni kwann asingejipa muda say hata siku 10 kwa kuzingatia bado yupo ndani ya muda unaoruhusiwa kikatiba...hii ingempa nafasi kupima upepo halisi kwenye ground ukubalikaji wake ukose vs wagombea wengine badala ya kuwasikiliza chawa maslahi ambao ni wazi wamempotosha!
Hapa naona mbowe alikurupuka, ukweli ni kwamba mbowe hakubaliki/amechokwa kwa wanachama wengi wa kawaida, wanaomuunga mkono ni wachache!!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…