Mizania
JF-Expert Member
- May 17, 2023
- 3,812
- 3,277
Mkuu kwanza, serikali ilikuwa haina nia ya kuendelea na kesi.Kuongea ni rahisi sana
Pili, kama alijilua hakufanya angekomaa mpaka mwisho.
Watu walipoteza muda, fedha na afya kumpigania na kusimama na yeye halafu kawatosa baharini!!!