Mkuu kwanza, serikali ilikuwa haina nia ya kuendelea na kesi.Kuongea ni rahisi sana
Mkuu si serikali ilishaamua kutoendelea na kesi, na ndio ujumbe walio mpelekea hao mama juzi!!Kwahiyo angebaki gerezani?
😲😲😲Ila kupigwa risasi nyingi kwa kutetea maslahi ya taifa ndio sifa ?
Mkuu hukumu ilikuwa haijatoka, kukutwa na kesi ni jambo tofauti na kukutwa na hatia. Usipotoshe!!!Angekataa angefungwa, Mahakama ilishamkuta na KESI ndio sababu Viongozi wa Dini wakaenda kutubu ikulu Kwa niaba yake 🐼
Kupigwa risasi ni sifa ya Uongozi?Acha ujinga ww mpuuzi kati ya hao nani ameishapigwa risasi hata moja kama Lissu ? Ww unafikiri kwenda jela ni sifa? Acha upimbi....
Hakuna mufti wa waislamu wote,huyu ni mufti wa BakwataKwani huwa kuna mufti wangapi?!
Nimeuliza keani huwa kuna mufti wangapi?! Naona majibu yako ni irrelevantHakuna mufti wa waislamu wote,huyu ni mufti wa Bakwata
Nimekujibu kuna mufti wa Bakwata 1, ila waislamu ni wengi hawana uhusiano na hii BakwataNimeuliza keani huwa kuna mufti wangapi?! Naona majibu yako ni irrelevant
Ungemrahisishia ni kamati ya amani ya kitaifaMufti anawakilisha waislamu wote, kila askofu anawakilisha dhehebu lake.