Mbowe: Nimealikwa Dira 2050 kama Mtanzania, nina haki ya kuja, tuache unafiki

Mbowe: Nimealikwa Dira 2050 kama Mtanzania, nina haki ya kuja, tuache unafiki

Sahihi kabisa, na hilo Kitilla Mkumbo, Kikwete na Samia wanajua wanadanganya
 
Wakati huo huo Mbowe amesahau kuwa yeye ni;
1. Mwenyekiti mstaafu wa Chadema (chama kilichofungiwa kufanya siasa) baada ya kuongoza kwa miaka 20 mfululizo.
2. Mjumbe wa kudumu wa kamati kuu ya Chadema.
 
Sahihi kabisa, na hilo Kitilla Mkumbo, Kikwete na Samia wanajua wanadanganya
Dira ya Taifa ya Maendeleo 2025 -2050 inathubutu kabisa kuzungumzia masuala nyeti ya HAKI, UHURU, na DEMOKRASIA. Huu ni upuuzi kama mwingine wowote ule.

Ila FAM haoni umuhimu wowote ule wa kwenda korokoroni/mahakamani ambako mrithi wake yupo, mwenye kesi ya UHAINI ambaye alikuwa sambamba naye katika kesi yake UGAIDI!! Chini ya utawala huu huu wa GIZA.

Inafikirisha sana, upo upande wq watesi wetu juu ya mateso yetu, ama upo katika furaha yao juu ya mateso yetu.

Freeman, Freeman, Freeman,

Nimekuita mara tatu ili kukuonyesha ninamaanisha..

NO REFORMS, NO CREDIBLE ELECTION
 
Survavilist wa Siasa Tanzania.

J.M.K na T.A.L..

Wanajuana kwa Vilemba😌
fb_img_1680258242993-jpg.2572153
 
Back
Top Bottom