Mbowe: Nimepata chanjo ya AstraZeneca, Serikali iharakishe kuchukua hatua za kuikabili COVID19

Wewe ndio unamuita Mkiti wako Dalali..Soma vizuri kwa utuo uone kama kuna neno nimetumia udalali..rudia vizuri kusoma

Hatuna muda ya kumjibu kila mburula kwa utopolo alioandika. Bando zenyewe bei wamepandisha.

Bottom line:

1. chanjo ni suala binafsi. Tusipangiane. Anayetaka kuchanjwa na achanjwe.

2. AstraZeneca haina madhara ya moja kwa moja kwa watumiaji.

3. AstraZeneca storage na transportation yake ni bora zaidi.

4. AstraZeneca ni kinga ya Corona kama zingine.

5. Chanjo hizi kupitia COVAX ni bure.

Habari mbaya hizi ziwafikie mamburula wote kokote kule waliko.

Au nasema uongo ndugu zangu?
 
Penaltiii penaltiiii!!!, madhambi aliyoyacheza kiungo Mbowe muamuzi kayaona akasema no!, no!! noo!!! Hii si sawa kabisa

Kadi nyekundu imeenda kwa Mbowe anatoka nje kainamisha kichwa.

Uwanja umelipukaa, uwanja umelipukaa MATAGA wanashangilia kwa furaha. Ni nani ataicheza vizuri hii penalt bado hajajulikana, benchi la ufundi MATAGA FC limenyanyuka namuona kocha anawapa ishara wachezaji wake. Ngoja tuone watazamaji kipi kitatokea.

Mpira ndio kama unaanza mashabiki MATAGA FC wameamka wanaimba "Jeshi, jeshi, jeshii"
 
Wewe ukiipata unakufa
Kila kifo kina sababu kama kifo changu kitakuwa hivyo kawaida tu,kama ambavyo wengine wamekufa huko baada ya kudungwa chanjo ya corona Astrazeneca. Kwahiyo ni kawaida tu mwisho zote ni sababu tu kukiendea kifo.

Unaweza kusikia ghafla Mbowe kaganda damu mara kafa na sababu ni ile chanjo,kwahiyo kawaida tu mkuu.
 
Wewe kama hutaki hiyo chanjo basi waache wenzako wapate maana hulazimishwi.
Tatizo hata huko zilikoanzia walianza na kauli tamu zitakuwa hiyari walipoona watu hawataki wakaanza matangazo kama ya biashara. Kiona bado watu wengi wanazigomea sasa wanatishia kuwazuia kusafiri, na kwenda sehemu muhimu mpaka chanjo.

Wanaotaka wafanya kama Mbowe tu. Rwanda, Kenya, South kote zipo. Unaweza kufanya the needful.
 
Pata Balimi Kubwa Ya Moto..Bill ntalipa
 
Mwendazake angekuwa hai leo, basi Mbowe baada tu ya Press angetakiwa kutoka nchini sababu ile chanjo ya AstraZeneca inaambukiza Corona.

"kuna wengine wameenda huko nje wamechanjwa chanjwa ndiyo wameletaniza haya ma corona mapya..."

 
Kwa hivyo huyu jamaa anataka tuamini kuwa yeye ni mfanya biashara sasa? Si aseme tu alikwenda nje kufata chanjo kwa vile Tanzania haipatikani?
 
Pata Balimi Kubwa Ya Moto..Bill ntalipa

Nitakapo jivinjari kanda yetu pendwa kukagua kama tumeshakubaliana na matokeo kuwa hii ni awamu ya sita sasa nitakutaarifu mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…