Pre GE2025 Mbowe: Nimewasamehe wote walionitukana ni ushamba tu, lakini watambue msamaha una mwisho, wakiendelea tutafikishana pabaya

Pre GE2025 Mbowe: Nimewasamehe wote walionitukana ni ushamba tu, lakini watambue msamaha una mwisho, wakiendelea tutafikishana pabaya

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Cute Wife

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
1,906
Reaction score
5,000
Wakuuuu,

Mbowe amewaambia wanachama waliokwenda kumhimiza achukue fomu wasiwashambulie kwa kuwatukana waliomtukana na kumfitini, bali wawasamehe. Asema huo ni ushamba tu.

Pia soma: Kuelekea 2025 - Freeman Mbowe: Nitatoa uamuzi wa kugombea Uenyekiti siku ya Jumamosi saa 5 asubuhi

Akisema anataka watoke kwenye uchaguzi huu wakiwa wamoja na siyo kuwa na magape zaidi.

Asema safari hii hataki kutumia maneno ya kutumia sumu aliyotumia kwa Sumaye, safari hii anatangaza upendo.

PIA SOMA
- Kuelekea 2025 - Freeman Mbowe amtaka Mchungaji Peter Msigwa kumuomba radhi kwenye Magazeti na kulipa fidia ya Tsh. Bilioni 5 kwa kumkashifu na kumchafua jina
 
Mwamba Mbowe ndio chaguo sahihi la wana CHADEMA.shime wana CHADEMA msije mkakosea.kura zenu za ndio mpeni na mmiminieni Mwamba Mbowe .
 
Wakuuuu,

Mbowe amewaambia wanachama waliokwenda kumhimiza achukue fomu wasiwashambulie kwa kuwatukana walio waliomtukana na kumfitini, bali wawasamehe. Asema huo ni ushamba tu.

Akisema anataka watoke kwenye uchaguzi huu wakiwa wamoja na siyo kuwa na magape zaidi.

Asema safari hii hataki kutumia maneno ya kutumia sumu aliyotumia kwa Sumaye, safari hii anatangaza upendo.

PIA SOMA
- Kuelekea 2025 - Freeman Mbowe amtaka Mchungaji Peter Msigwa kumuomba radhi kwenye Magazeti na kulipa fidia ya Tsh. Bilioni 5 kwa kumkashifu na kumchafua jina
MBOWE katukanwa na Lucas Mwashambwa
 
Mwamba kapanic alafu ana hasira sana, hakutegemea kama lissu atagombea uenyekiti

Mzee hapo mwisho katoa kaulinya vitisho sana
 
Jamaa ana ogopa nini mbona kama ana tafuta justification ya kuchukua form .ndo azunguke hivi
 
Mzee Kapanic yeye atangaze kuchukua fomu, vita ianze
 
Back
Top Bottom