Mbowe amewaambia wanachama waliokwenda kumhimiza achukue fomu wasiwashambulie kwa kuwatukana waliomtukana na kumfitini, bali wawasamehe. Asema huo ni ushamba tu.
Mbowe amewaambia wanachama waliokwenda kumhimiza achukue fomu wasiwashambulie kwa kuwatukana walio waliomtukana na kumfitini, bali wawasamehe. Asema huo ni ushamba tu.
Akisema anataka watoke kwenye uchaguzi huu wakiwa wamoja na siyo kuwa na magape zaidi.
Asema safari hii hataki kutumia maneno ya kutumia sumu aliyotumia kwa Sumaye, safari hii anatangaza upendo.