technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,718
- 58,893
A
Hongera kamandaSababu zangu ni zifuatazo
1: Mimi ni mwanachama halali wa CHADEMA
2: Mimi ni mjumbe wa halimashauri kuu ya CHADEMA Taifa
3: Ni kutokana na wewe kushindwa kutimiza baadhi ya maazimio ya kamati kuu
4: Ukishindwa kufanikisha operation UKUTA!!
Msaliti vipi wakati katiba inaluusu??Unataka kuwa msaliti eee?
Mbowe ndo chaguo letu sisi chadema wenye mtazamo wa mbali... Hatuwezi kuwapa chama watu ambao ni rahisi kurubuniwa na magamba.. Mbowe ndo kiboko ya ccm.. ktk wenyeviti wa vyama vya upinzani hakuna na hajatokea mwenyekiti aliyeitikisa ccm kama mbowe... Viva mbowe Viva chadema.. chama bado kinakuhitaji sana kuliko unavyokihitaji chama... lkn nyie mnaokuja kupima mafuta kama yana moto kwa kidole pia mnakaribishwa.. Maana mna haki kikatiba... People'sssss... tukutane September mosi tu.. UKUTA ndo habari ya mujiniSababu zangu ni zifuatazo
1: Mimi ni mwanachama halali wa CHADEMA
2: Mimi ni mjumbe wa halimashauri kuu ya CHADEMA Taifa
3: Ni kutokana na wewe kushindwa kutimiza baadhi ya maazimio ya kamati kuu
4: Ukishindwa kufanikisha operation UKUTA!!
Wewe ni familia ya Mtei?Hiyo ni mali ya familia,mwenyekiti mtarajiwa wa Chadema ni mtoto wa Mbowe.
Msaliti vipi wakati katiba inaluusu??
Mbowe ndo chaguo letu sisi chadema wenye mtazamo wa mbali... Hatuwezi kuwapa chama watu ambao ni rahisi kurubuniwa na magamba.. Mbowe ndo kiboko ya ccm.. ktk wenyeviti wa vyama vya upinzani hakuna na hajatokea mwenyekiti aliyeitikisa ccm kama mbowe... Viva mbowe Viva chadema.. chama bado kinakuhitaji sana kuliko unavyokihitaji chama... lkn nyie mnaokuja kupima mafuta kama yana moto kwa kidole pia mnakaribishwa.. Maana mna haki kikatiba... People'sssss... tukutane September mosi tu.. UKUTA ndo habari ya mujini
Upupu tu, ni kutaka kuhamisha mjadala wa VAT kwenye miamala ya fedha kupitia simu za mikononi na mabenki. Kichwa cha habari kimendaliwa kuvutia wasomaji wajielekeze kuisoma.... Statement ni yako lakini utadhani aliye tamka hayo ni Mbowe mwenyewe aidha hukuweka muhitasari katika hoja yako badala yake ametaja sababu zako za kutaka kugombea/..... full shit!
Do not be defensive, if you want to contest for the position you need to go along and do itSababu zangu ni zifuatazo
1: Mimi ni mwanachama halali wa CHADEMA
2: Mimi ni mjumbe wa halimashauri kuu ya CHADEMA Taifa
3: Ni kutokana na wewe kushindwa kutimiza baadhi ya maazimio ya kamati kuu
4: Ukishindwa kufanikisha operation UKUTA!!