Mbowe, nitagombea nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA

Upupu tu, ni kutaka kuhamisha mjadala wa VAT kwenye miamala ya fedha kupitia simu za mikononi na mabenki. Kichwa cha habari kimendaliwa kuvutia wasomaji wajielekeze kuisoma.... Statement ni yako lakini utadhani aliye tamka hayo ni Mbowe mwenyewe aidha hukuweka muhitasari katika hoja yako badala yake ametaja sababu zako za kutaka kugombea/..... full shit!
 
Sababu zangu ni zifuatazo

1: Mimi ni mwanachama halali wa CHADEMA

2: Mimi ni mjumbe wa halimashauri kuu ya CHADEMA Taifa

3: Ni kutokana na wewe kushindwa kutimiza baadhi ya maazimio ya kamati kuu

4: Ukishindwa kufanikisha operation UKUTA!!
Mbowe ndo chaguo letu sisi chadema wenye mtazamo wa mbali... Hatuwezi kuwapa chama watu ambao ni rahisi kurubuniwa na magamba.. Mbowe ndo kiboko ya ccm.. ktk wenyeviti wa vyama vya upinzani hakuna na hajatokea mwenyekiti aliyeitikisa ccm kama mbowe... Viva mbowe Viva chadema.. chama bado kinakuhitaji sana kuliko unavyokihitaji chama... lkn nyie mnaokuja kupima mafuta kama yana moto kwa kidole pia mnakaribishwa.. Maana mna haki kikatiba... People'sssss... tukutane September mosi tu.. UKUTA ndo habari ya mujini
 
Wewe ni familia ya Mtei?Hiyo ni mali ya familia,mwenyekiti mtarajiwa wa Chadema ni mtoto wa Mbowe.

.....umewahi kumsikia Bob Makani?!, you better shut up!
 


Hapana...Mbowe amechoka..hana kipya kwa sasa.....hana ubunifu mpya tena

Abaki kama mshauri chama apewe kijana mwingine

Na siungi mkono kabisa mtu kama sumaye kuwa mwenyekiti

Mtoa mada technically ni haki yako ya kikatiba ruksa kamanda
 


No sio upupu..atuwezi kuwa tunajadili kitu kimoja tu kila wakati..Mtoa mada yuko sahihi..namuunga mkono...ni haki yake kikatiba
 
Sababu zangu ni zifuatazo

1: Mimi ni mwanachama halali wa CHADEMA

2: Mimi ni mjumbe wa halimashauri kuu ya CHADEMA Taifa

3: Ni kutokana na wewe kushindwa kutimiza baadhi ya maazimio ya kamati kuu

4: Ukishindwa kufanikisha operation UKUTA!!
Do not be defensive, if you want to contest for the position you need to go along and do it
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…