technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,718
- 58,893
- Thread starter
-
- #81
Nani kakwambia Mimi ni Uvccm??Eeeee!! ndo umegundua leo kuwa sisiemu iliwaharibu vijana toka zamani??? na itawaharibu sana tu!! maana huko green guard mnafundishwa kuwa wazalendo na watiifu kwa chama na wala siyo kwa taifa; sasa hapo unategemea nini! ndo maana wanozalishwa na uvsisem ndo wanakuwa watawala na baadaye kuanza kukwapua hazina ya taifa na kuihamishia chichiem kwakuwa walishaambiwa chchiem no1 siyo taifa; ngoja ngosha ambaye hajapitia ukada kindakinda awahenyeshe huko uvccm mkome na kishasema hatatoa cent ya gv kuipeleka chamani, safari hii mtakufa na ukame, book7 kwishazake, tafuteni kazi zingine propagada kwishaaaaa!!
ExactlyHapana...Mbowe amechoka..hana kipya kwa sasa.....hana ubunifu mpya tena
Abaki kama mshauri chama apewe kijana mwingine
Na siungi mkono kabisa mtu kama sumaye kuwa mwenyekiti
Mtoa mada technically ni haki yako ya kikatiba ruksa kamanda
Exactly lakini watakataa huu ukweli wako maana tiketi ya kuishi vizuri Tanzania ni unafiki!!!CHADEMA na CCM wote wapo hovyo jinsi ya kupata viongozi wao wa kitaifa hasa MWENYEKITI
Wana minya sana demokrasia
CCM juzi Rais Magufuli kapigiwa kura na kivuli ndiyo mpinzani
Mbowe the same thing,hana mpinzani
Wanaogopa nn?
CHADEMA tofauti yenu na CCM kwenye kuchaguana ni nn?
heri ccm chadema haifaiExactly lakini watakataa huu ukweli wako maana tiketi ya kuishi vizuri Tanzania ni unafiki!!!
Sijaona so far tofauti ya CCM vs CHADEMA ktk hata chaguzi zaoExactly lakini watakataa huu ukweli wako maana tiketi ya kuishi vizuri Tanzania ni unafiki!!!
Katiba ya ACT-Wazalendo ndiyo mbaya zaidi kwa upande huu wa Mziwa MakuuNadhan huelewi au unapotosha kwa makusudi. Nenda kenya ukajifuze akina Raila, Uhuru, Ruto, Kalonzo, Mudavadi wana nafasi gani katika vyama vyao ukitoka hapo ukafuatilie nchi nyingi za jumuia ya madola zikoje.
Uko ndiko kinyaa kitupuKatiba ya ACT-Wazalendo ndiyo mbaya zaidi kwa upande huu wa Mziwa Makuu
Zitto ndiyo MKUU wa CHAMA tena kikatiba kabisa
Hata Mwenyekiti na Katibu wa chama wana ripoti kwa Zitto
Ayatollah in making
Huko hajufai kabisaUko ndiko kinyaa kitupu
Dikteta..wewe ni msaliti mkubwa! tunakufuta uanachama
Lazima JF ionekane ya ajabu kwakua maslahi ya Mwenyekiti mshika ukuta yametekenywa...Heading imekaa kipropaganda....JF inazidi kuwa ya ajabu....maana kilichopo ndan na heading ni tofauti
Tatizo Freeland na technically mnaongea lugha za kinabii mno kiasi kwamba nyumbu hawawezi kuwaelewa.. sana sana hamchelewi kubandikwa lebo ya USALITI...Mkuu upo sahihi alafu si kila anayesema ukweli awe adui
Wee nani bana ..wee si pimbi wa lumumba tu? Chadema imeanzishwa 1993 na si kama unavyoota ww et 1992 ..kachukue posho zako lumumba mkuuUngemjua unayebishana naye usingeruhusu
vidole vyako viandike ujinga huu
Usijari utapata viti maalumu[emoji2] [emoji1] [emoji2] haya mkuu kila la kher ukumbuke kunipa ulaji ukipata
Swali kutoka kwa mwanachama wa huko namtumbo: Utaifanyia nini chadema???Sababu zangu ni zifuatazo
1: Mimi ni mwanachama halali wa CHADEMA
2: Mimi ni mjumbe wa halimashauri kuu ya CHADEMA Taifa
3: Ni kutokana na wewe kushindwa kutimiza baadhi ya maazimio ya kamati kuu
4: Ukishindwa kufanikisha operation UKUTA!!