Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unatetea uovu, Mungu akulaaani wewe na kizazi chako chote. Angeuliwa baba yako mzazi, ungeona uzuri au ubaya wa kusifia ujinga huu.Ole sabaya safi sana, Mungu akulinde. Wewe ni jiwe
Hii ishu ni serious mno, kifupi Sabaya katumiwa na Mungu kuonesha dunia kinachoendelea Tanzania. Huwezi cheza na UN logo na ukachafua image ya UN ambayo ina kinga kimataifa ukabaki salama...Sasa ni wazi kuwa ICC inawahusu viongozi wakuu na watawajibika.Hii ilikua saa 8 na nusu usiku wa kuamkia leo. Huyu anayeonekana pichani aliyeshika bunduki si jambazi, si gaidi, si jinamizi. Ni Mkuu wa wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya. Akiwa na genge lake la zaidi ya watu 20 walivamia hoteli ya kitalii ya Aishi Protea inayomilikiwa na Mhe.Freeman Mbowe ambapo waliwakamata wageni kadhaa walikuwemo hotelini hapo na kuwaweka rumande kituo cha polisi Bomang'ombe kwa madai kuwa wanapanga kuvuruga uchaguzi.
Pia aliwakamata walinzi wa hoteli hiyo na kuwapiga, kuwanyang'anya silaha na kuwasweka matambara mdomoni, kisha kuwachukua na kwenda kuwatelekeza porini kabla ya kufika uwanja wa ndege wa KIA. Wakati akitekeleza uhalifu huo alikua na magari yenye plate number za Umoja wa mataifa (UN) lakini UN imetoa taarifa kuwa magari hayo si yake. Hii ina maana DC Sabaya alighushi namba za magari hayo kinyume cha sheria.
Yani ameingiza nchi kwenye mgogoro wa kidiplomasia usio na tija kwa maslahi ya kisiasa. #MyTake: Hawa ndio watu ambao JPM anawapenda na anawalinda sana. Just like Bashite. Yani DC hana mafunzo yoyote ya kijeshi lakini anatembea na silaha ya kivita, anavamia hoteli bila kujali wageni waliopo. Anapiga walinzi, anawanyang'anya silaha, anawafunga mikono na miguu na kuwajaza matambara mdomoni. Kisha anaagiza wakatupwe porini. Saa 8 za usiku. Unyama gani huu?
View attachment 1615175
Hivi hata unajua makosa ya kumfanya mtu kufikishwa ICC ni yapi au unadhani ICC ni kama chooni tu kila mtu anaenda?Hii ishu ni serious mno...kifupi Sabaya katumiwa na Mungu kuonesha dunia kinachoendelea Tanzania..huwezi cheza na UN logo na ukachafua image ya UN ambayo ina kinga kimataifa ukabaki salama...Sasa ni wazi kuwa ICC inawahusu viongozi wakuu na watawajibika.
ndo anatakiwa ku deal na kina mbowe sasa ingekua laini laini wana shida sana kudeal naoSabaya huyu mwamba sijawahi kumwelewa na mambo yake
Hivi kwann akili zenu zinakua coloned kirahisi hivi.Wana tupeleka huko kutokana na wanayo tufanyia Raia wao ,au haujui tuna Kanda Maalum hapa Nchini Mkuu !?.Sina hakika Colombia wapo walipo hapo sasa hivi kwbakupenda ,ni Tabia tu za Watawala kuchukua Haki za wengine na hawajali so Raia wanaamua tu na wao kuunda Rule zao ili twende sawa.Mtu kama Sabaya utamshitaki wapi ?.
Ukiachana hekima na busara alizonazo, ni mpole sana yule baba....Hivi Mbowe pamoja na utajiri wake anashindwaje kumtumia madunguaji Sabaya ili kurudisha heshima yake hapo Machame
Siku nyingine jaribu kufikiria japo kdg kabla ya kutoa comment. Au ukae tu kimya coz sometymz kuficha ujinga sio vibayaMbowe na Faru John bado hajachoka kutia kiki
Wamuue kweli
Huyu jamaa anatumia Ujinga wa wafuasi wake Kuwadanganya na Walivyo Vibendera basi tayari Upepo umepeleka
DuhOle sabaya safi sana, Mungu akulinde. Wewe ni jiwe
Hivi unajua madhara ya kutumia Logo ya UN na namna inavyoweza kuhatarisha utendaji kazi wa UN? Na kuchafua image yao?Hivi hata unajua makosa ya kumfanya mtu kufikishwa ICC ni yapi au unadhani ICC ni kama chooni tu kila mtu anaenda?
Katika masuala ambayo siyaungi mkono ni unafiki.Wewe Richard mnafiki sana unateteaga ujinga wa CCM.
Alijiona hagusiki sasa anaaza kujikomba kwa Rais S Suluhu ngoja moto umuwakie sasaMie ile tabia yake ya kupora mademu za watu ndio huwa inaniachaga hoi aisee yaani nasikia akimpenda hata wife wako anakupora tu na genge lake .. sijui kwanini Bwana mkubwa anamuacha huyu jamaa
Shetani mkubwa hutyuNdo DC uyu[emoji23][emoji23][emoji23]bongo futuhi sanaView attachment 1615054
Clouds wameingizwa choo cha kike kishamba sana !Hatari na nusu
Clouds ni genge la matapeliClouds wameingizwa choo cha kike kishamba sana !