Mbowe: Ole Sabaya akiwa na gari lenye namba UN na silaha za moto aliongoza genge la wahalifu kwa lengo la kunidhuru na kuniua

Ole sabaya safi sana, Mungu akulinde. Wewe ni jiwe
Unatetea uovu, Mungu akulaaani wewe na kizazi chako chote. Angeuliwa baba yako mzazi, ungeona uzuri au ubaya wa kusifia ujinga huu.
 
Hii ishu ni serious mno, kifupi Sabaya katumiwa na Mungu kuonesha dunia kinachoendelea Tanzania. Huwezi cheza na UN logo na ukachafua image ya UN ambayo ina kinga kimataifa ukabaki salama...Sasa ni wazi kuwa ICC inawahusu viongozi wakuu na watawajibika.
 
Hivi hata unajua makosa ya kumfanya mtu kufikishwa ICC ni yapi au unadhani ICC ni kama chooni tu kila mtu anaenda?
 
Kawatoa baruti mawakala wote unategemea nn hata Kama kwa wizi sio kwa gap hilo.
 
Hivi kwann akili zenu zinakua coloned kirahisi hivi.

Kumbuka hapo ni hotelini, na hotel haina ubaguzi wa kuzuia mtu kwenda kupata huduma (haina matabaka).kwa mujib wa picha sioni purukushani yoyote mi nachoona ni watu wanaingia hotelini kupata huduma.

Mi naona tatizo la mbowe hapo ni kuigeuza hoteli kuwa kijiwe chake cha siasa na anataka kuaminisha watu hivyo.
 
Mbowe na Faru John bado hajachoka kutia kiki
Wamuue kweli
Huyu jamaa anatumia Ujinga wa wafuasi wake Kuwadanganya na Walivyo Vibendera basi tayari Upepo umepeleka
Siku nyingine jaribu kufikiria japo kdg kabla ya kutoa comment. Au ukae tu kimya coz sometymz kuficha ujinga sio vibaya
 
Hivi hata unajua makosa ya kumfanya mtu kufikishwa ICC ni yapi au unadhani ICC ni kama chooni tu kila mtu anaenda?
Hivi unajua madhara ya kutumia Logo ya UN na namna inavyoweza kuhatarisha utendaji kazi wa UN? Na kuchafua image yao?

Hivi unajua wao na red cross wana kinga kimataifa kufanya kazi katika crisis situation kama vita ugaidi nk.... hata magaidi wakiona nembo ya UN na Red Cross hawapaswi kuwaingilia...sembuse nyie na genge lenu la wahuni mtumie fake plate number ya UN?

Unajua tukio lililofanyika linaathari zipi kwao,vyombo vyao na watumishi wa UN Tanzania? Kama wao hawatalichukulia serious?
 
Mie ile tabia yake ya kupora mademu za watu ndio huwa inaniachaga hoi aisee yaani nasikia akimpenda hata wife wako anakupora tu na genge lake .. sijui kwanini Bwana mkubwa anamuacha huyu jamaa
Alijiona hagusiki sasa anaaza kujikomba kwa Rais S Suluhu ngoja moto umuwakie sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…