Mbowe: Ole Sabaya akiwa na gari lenye namba UN na silaha za moto aliongoza genge la wahalifu kwa lengo la kunidhuru na kuniua

Hili ni jambazi!
Ni hayawani kabisa!
Ni limbukeni kabisa!
Hivi kwanini 'msimtafutie' wahuni wamalizane nae?
 
Mwamba Sabaya

Dogo yupo vizuri sana kwa kuwanyosha wafanyabiashara makanjanja
 
Hili ni jambazi!
Ni hayawani kabisa!
Ni limbukeni kabisa!
Hivi kwanini 'msimtafutie' wahuni wamalizane nae?
Eti nasikia Sabaya ni TISS.
Aisee Hii nchi ngumu sana
Au Kuna aina nyingi za TISS.
TISS Nyerere,
TISS Mwinyi,
TISS Mkapa,
TISS Kikwete,
na hatimae ikaja hii TISS yenye rekodi ya aina ya kipekee,TISS Chattle,yenye WATU aina ya Akina Sabaya.
 
Ueu
Mwamba Sabaya

Dogo yupo vizuri sana kwa kuwanyosha wafanyabiashara makanjanja

Ok wajinga kama wewe Bado mpo aisee,
Kwa huyo huyo mtu wako alikua polisi yeye,
Mahakama ya biashara yeye,
TRA yeye,
Magereza yeye,
TISS yeye,
Jambazi yeye,
Baunsa yeye,
Na wewe unamsifia,aisee.
 
Eti nasikia Sabaya ni TISS.
Aisee Hii nchi ngumu sana
Au Kuna aina nyingi za TISS.
TISS Nyerere,
TISS Mwinyi,
TISS Mkapa,
TISS Kikwete,
na hatimae ikaja hii TISS yenye rekodi ya aina ya kipekee,TISS Chattle,yenye WATU aina ya Akina Sabaya.
Kitambulisho chake hiki hapa
 
Ueu

Ok wajinga kama wewe Bado mpo aisee,
Kwa huyo huyo mtu wako alikua polisi yeye,
Mahakama ya biashara yeye,
TRA yeye,
Magereza yeye,
TISS yeye,
Jambazi yeye,
Baunsa yeye,
Na wewe unamsifia,aisee.
Chawa akuangalia kesho
 
Ueu

Ok wajinga kama wewe Bado mpo aisee,
Kwa huyo huyo mtu wako alikua polisi yeye,
Mahakama ya biashara yeye,
TRA yeye,
Magereza yeye,
TISS yeye,
Jambazi yeye,
Baunsa yeye,
Na wewe unamsifia,aisee.
Sawa J Mukya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…