Mbowe: Rais wa JMT ni Taasisi ila sisi kama Chadema ni Kikundi tu Cha Watu tunaojitolea hatuhitaji Term Limit!

Mbowe: Rais wa JMT ni Taasisi ila sisi kama Chadema ni Kikundi tu Cha Watu tunaojitolea hatuhitaji Term Limit!

Mwenyekiti wa Chadema Mh Freeman Mbowe ameahidi kuheshimu Ukomo wa Madaraka pindi Chadema ikiingia Ikulu

Source: Crown media

IMG_20250104_144245.jpg


Ngoja tuone.
 
Kwa maoni yangu vyama vyote vya siasa ni Mali ya umma, kwa maana lengo lake kuu ni kutaka kushika Dola kuongoza nchi, Zitungwe Sheria ya kudhibiti vyama hivi kama vile viweke ukomo wa uongozi kwenye vyama vyao, mfano lipumba yupo tu cuf Hana jipya wala nn
 
Muda wake kuwa kiongozi wa chama cha Upinzani umeisha. He is out of touch Kwa kweli.
 
Mwenyekiti wa Chadema Mh Freeman Mbowe ameahidi kuheshimu Ukomo wa Madaraka pindi Chadema ikiingia Ikulu

Source: Crown media
HIKI NI KIKUNDI CHA WANANDUGU WANAOFAHANIANA HAKIPASWI KUWA CHAMA CHA SIASA WATANZANIA AMKENI HAKUNA CHAMA HAPO, PANA CABINET YA ULAJI WA RUZUKU, HAKUNA LENGO LA KWELI LA KISIASA LA KUMKOMBOA MNYONGE, ZUNGUSHENI TU NGUMI HAPO PUMBAVU
 
hatuhitaji Term Limit Source: Crown media

HAJASEMA CHADEMA HATUHITAJI TERM LIMIT

Hayo ya kwako wewe!

Interpretation yako wewe!

Kwa upeo wako wewe!

AMESEMA CHADEMA ina utaratibu wa Kikatiba wa kufuta mpaka katiba yenyewe, vifungu visivyofaa.

Wanaotaka Term Limits wangeleta hoja ndani ya chama kupitia mifumo ya kikatiba ya chama.

Post Script.

Nikupeleke shule ya journalism:

Crown Media sio chanzo.

Chanzo ni Mbowe mwenyewe kwenye mawasilisho ya moja kwa moja kwa hadhara.

Ingekuwa Mbowe ameongelea nyumbani kwake akiwa na Kikeke pasi binadamu mwingine kusikia ndio tungesema Chanzo ni Crown Media wanaodai wamemsikia Mbowe.
 
Back
Top Bottom