johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mbowe sasa ana nafasi kubwa ya kupita bila kupingwa kwenye uchaguzi wa mwenyekiti wa CHADEMA baada ya mshindani wake Mh Mwambe kutamaniwa na CCM.
Leo kwa mara ya pili Rais Magufuli amesema CCM ilifanya makosa kumuengua Mwambe na matokeo yake wananchi wa Masasi wamekosa maendeleo.
Rais Magufuli amesema moyo wa Cecil Mwambe bado uko CCM na anaweza kuhamia chama tawala hivyo wahafidhina wa chama wasije kumbughuzi kama walivyomfanyia 2015.
Chanzo: TBC
My take: Freeman Mbowe ana bahati ya mtende!