Mbowe sasa kupumua, Cecil Mwambe amwagiwa sifa na Rais Magufuli mkutanoni na kukaribishwa CCM

Mbowe sasa kupumua, Cecil Mwambe amwagiwa sifa na Rais Magufuli mkutanoni na kukaribishwa CCM

Bowe ni pandikizi la ccm nyie hamjui kabisa.
 
Kuna siku Raisi Magufuli alimsifiaga mbowe jimboni kwake sasa sijajua kama na mbowe alihamia CCM.Cecil kutangaza tu atagombea uenyekiti imekuwa ni nongwa kweli ukitaka kufukuzwa Chadema sema tu unagombea uenyekiti
 
Ningeshangaa sana. Sijawahi kumuamini mtu aliyetemwa na ccm. Heri yule aliyejitoa mwenyewe!
Kumbe wewe ni kilaza hivyo,hivi unafikiri sisi wana Chadema tungemchagua mtu aliyekuja baada ya kutemwa CCM aiongoze Chadema?
 
Back
Top Bottom