Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Mwenyekiti Mstaafu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Freeman Mbowe amesema licha ya Serikali kufanya kazi kubwa kuandaa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050, lakini bado haijakiri kuhusu demokrasia na ‘mabaya’ yaliyotokea miaka 25 iliyopita.
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Akizungumza na wanahabari katika viunga vya Jakaya Kikwete Jijini Dodoma, Mbowe amesema Dira hiyo imetaja mafanikio katika demokrasia ikiwemo uchaguzi huru na haki, jambo ambalo sio kweli na alitegemea serikali ingeweza kukiri makosa kupitia Dira hiyo na kuanza ukurasa mpya.