Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Mbowe ndio Muasisi wa No Reforms No ElectionAwakumbushe kufanya reforms.
Ninauza nyumba yangu hapa vikindu nyuma ya mtaa wa polisi mwenye uhitaji unipigie 0625784681. Au wasap 0673294681. Ni nyumba ina apartments 2 na vyoo ndani.Mwenyekiti Mstaafu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Freeman Mbowe amesema licha ya Serikali kufanya kazi kubwa kuandaa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050, lakini bado haijakiri kuhusu demokrasia na ‘mabaya’ yaliyotokea miaka 25 iliyopita.
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Akizungumza na wanahabari katika viunga vya Jakaya Kikwete Jijini Dodoma, Mbowe amesema Dira hiyo imetaja mafanikio katika demokrasia ikiwemo uchaguzi huru na haki, jambo ambalo sio kweli na alitegemea serikali ingeweza kukiri makosa kupitia Dira hiyo na kuanza ukurasa mpya.
Kapewa attention kuliko tukio lenyewe.. Yaani ilikua nitoke vipi.
Angalau wewe umepost Cha maana kwa ajili Yako na uzao wako.Ninauza nyumba yangu hapa vikindu nyuma ya mtaa wa polisi mwenye uhitaji unipigie 0625784681. Au wasap 0673294681. Ni nyumba ina apartments 2 na vyoo ndani.
Bei tsh. 23,000,000.00
Nitapunguza kidogo.
Nicheki wasap kama unahitaji picha na detailed information. Kataa mawinga.
Aliiasisi baadaye kaisaliti.Mbowe ndio Muasisi wa No Reforms No Election
Mbowe mutu mukubwaKapewa attention kuliko tukio lenyewe.. Yaani ilikua nitoke vipi.
Afadhali weweNinauza nyumba yangu hapa vikindu nyuma ya mtaa wa polisi mwenye uhitaji unipigie 0625784681. Au wasap 0673294681. Ni nyumba ina apartments 2 na vyoo ndani.
Bei tsh. 23,000,000.00
Nitapunguza kidogo.
Nicheki wasap kama unahitaji picha na detailed information. Kataa mawinga.
Wee chizi upo?Hata Erythrocyte anampa mwamba tuvushe ‘like’ duh!😎
Mbowe alistaafu?Mwenyekiti Mstaafu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Freeman Mbowe amesema licha ya Serikali kufanya kazi kubwa kuandaa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050, lakini bado haijakiri kuhusu demokrasia na ‘mabaya’ yaliyotokea miaka 25 iliyopita.