Mwanasheria Mkuu wa Botswana aliwahi kujishitaki mwenyewe kwa makosa aliyoyafanya kama Mwanasheria Mkuu.Kwamba Serikali ijichukulie Hatua ? As you know kwa hizi nchi hizi so called Taasisi sio Taasisi bali ni watu.....
Kwahio ili haya mambo yasitokee tena kupata kama hili baada ya hili...; inabidi kuwe na uwazi chochote chenye maslahi ya nchi kionekane (usiri waufanye kwenye mambo personal sio ya Taifa)
Yule wa CCM alitoa tamko akagoma kuulizwa maswali ebu fungua akili ujue shida ipo wapi.Hivi kumbe Chadema hakina Katibu wa Itikadi na Uenezi wa kutoa taarifa kwa umma Hadi Mwenyekiti wa Taifa ndiye aseme.
HakikaMwenyekiti wa CHADEMA Taifa, amesema Mkataba huo ni Mbovu, haurekebishiki na umelidhalilisha Taifa kwa uamuzi wa Watu wachache ambao wanapaswa kuchukuliwa hatua za Kisheria
Akitaja Maazimio ya Kamati Kuu ya chama hicho amesema Bunge linatakiwa kufuta Azimio lake la kuridhia Mkataba wa Uendeshaji wa Bandari kwasababu hauna Maslahi kwa Nchi
Aidha, Mbowe amesema Kamati Kuu ya CHADEMA inaunga mkono jitihada za Wananchi kupinga Mkataba huo ikiwemo Wanasheria waliofungua Kesi katika Mahakama mbalimbali Nchini.
Pia soma: Freeman Mbowe: Tunazindua "Operation +255 Katiba Mpya Okoa Bandari Zetu" kuwaambia watanzania ubaya wa Mkataba wa DP World
Unateseka ukiwa wapi bidada?Samia anatakiwa kujiuzulu, ukweli usemwe, ametudhalilisha watanganyika, kuutweza utu wetu, na kushindwa kulinda maslahi ya ardhi yetu na mipaka yake.
Amethibitisha ni kiongozi dhaifu, asiye na mwelekeo wala dira ya wapi anapotupeleka, amepwaya sana, hafai.
Unamaanisha ijitie kitanzi sio!!Naaam mkuu
IjisahihisheMbowe anamaanisha Sirikali ijichukulie hatua Kali?
Au mm ndo sijamuelewa mkt.
Ile ya kujisahihisha ilienda na Babu!!!Ijisahihishe
Naweza kuamini,Mwanasheria Mkuu wa Botswana aliwahi kujishitaki mwenyewe kwa makosa aliyoyafanya kama Mwanasheria Mkuu.
Unamaanisha ijitie kitanzi sio!!
Unadhani ni Rahisi kiasi hicho?
Mtu kujiua tu, Kwa mfano, Kwa maamuzi yake pekee hawezi, ni Hadi asaidiwe na Pepo!!!
Leo unawaambia wajitie kitanzi waubali?
Laiti Tanzania a k a Tanganyika ingekuwa na vyombo vya dola na vya maamuzi vilivyo huru kabisa. Ungemuelewa Mbowe. Kama South Africa, Australia, Brazil na US viongozi walio madarakani huitwa mbele ya vyombo hivyo na kuwajibishwa , kwanini isingewezekana hapa. Bahati mbaya sisi tunao u Rais wa kifalme ambaye hawajibiki kwa yeyote. Ni AIBU.Huu ujinga hata nami sijauelewa, alitakiwa kusema serikali itupishe, haina dira wala mwelekeo.
Kichaa chako kimeamka tena?Asubiri kwanza mkataba usainiwe:
TANZANIA • AD Ports, Adani and DP World vie for Dar port contract - 19/05/2023 - Africa Intelligence
By July, the Tanzanian authorities are due to announce which companies have won the double tender call to run the country's biggest port. Several major players are in the running. - 5/19/2023www.africaintelligence.com
Kwa hiyo basi kwa katiba yetu hii mbovu tamko la Mbowe haliwezi kutekelezeka.Laiti Tanzania a k a Tanganyika ingekuwa na vyombo vya dola na vya maamuzi vilivyo huru kabisa. Ungemuelewa Mbowe. Kama South Africa, Australia, Brazil na US viongozi walio madarakani huitwa mbele ya vyombo hivyo na kuwajibishwa , kwanini isingewezekana hapa. Bahati mbaya sisi tunao u Rais wa kifalme ambaye hawajibiki kwa yeyote. Ni AIBU.
Ndiyo maana mnapoambiwa katiba yetu mbovu muelewe.
[emoji23][emoji23][emoji23]Mwanasheria Mkuu wa Botswana aliwahi kujishitaki mwenyewe kwa makosa aliyoyafanya kama Mwanasheria Mkuu.