Mbowe: Serikali iwachukulie hatua wote walioliingiza Taifa katika Mkataba wa Bandari

Mbowe: Serikali iwachukulie hatua wote walioliingiza Taifa katika Mkataba wa Bandari

Uchumi upi mlioukuza ikiwa maskini anazuiwa Kutoa maiti hospitali ya Sirikali Hadi alipe Senti ya mwisho?

Tamaduni za kiafrika, maiti haidaiwi,

Bt CCCM maiti inadaiwa!!!
Ndio maana tumewapa bandar waarabu ili kuongeza pato la serikal matibabu yawe bure.
 
Wakubwa wamefanya yao.Hizi ni kelele za mbu nje ya neti.Tazama wanavyopishana kujitetea kwenye screen na vipaza sauti.
 
Duh. Raia tunachanganywa na kuchanganyikiwa.

Wanaotetea wanaongea na waandishi wa habari. Halmashauri kuu CCM wametoa tamko lao. Wakuu wa mikoa angalau wawili wamepiga mikwara. Bungeni wameafiki. Kauli nyingi za upande huu tumezisikia.

Wanaopinga nao wanaongea na waandishi wa habari. Baadhi ya wanasheria wamefungua kesi mahakama. Wanasiasa wakongwe na viongozi wa kidini tumewasikia. Halmashauri kuu CHADEMA nayo imetoa tamko. Huku nako kauli mbalimbali kwa upole na ukali sio haba.

Nini kimebaki? Nadhani Kuna haja watu wote wa pande zote waliojitokeza hadharani, wakutanishwe kutoa na kutetea hoja zao. Sasa hivi ni kama tunaona drama kila siku. Tumekuwa kama mbuzi, masikio Yana chezacheza kushoto na kulia kadiria ya miluzi inavyopigwa.

Sisi raia tutaona ukweli halisi. Wakutanishwe hivi sasa ni kama wanakwepana, kama vile ni kampeni ya uchaguzi. Kufanyike mdahalo wa kitaifa Kila upande utume magwiji wake tupime hoja.

Kule Bungeni ilikuwa ni kutafadhalishana kuunga mkono tu. Wengine tunajiuliza hitimisho litafikiwaje kwa mikutano ya kuelimishana?
Kwanini tundelee kuambiwa na kusubiri kuambiwa na mbaya zaidi wa kutuambia mpaka wapate bahati ya mikataba ku-leak (madudu au mazuri ya Bagamoyo mpaka leo hatujui kama ni kweli au uongo) hata huu wakisema sawa tumekosea tumesikia maoni yenu tutarekebisha..., who is to say baada ya miezi hawatafanya amendments kwa siri ?

Cha maana tuache usiri kwenye mali za Taifa tunahitaji UWAZI...; yoyote mwanahisa (ambaye ni mwananchi kila akitaka aweze kuona kama vile anavyosoma gazeti la Udaku.....) Enough is Enough tumepigwa mara nyingi sana.....
 
Mwanasheria Mkuu wa Botswana aliwahi kujishitaki mwenyewe kwa makosa aliyoyafanya kama Mwanasheria Mkuu.
Huenda ilikuwa defense mechanism ; Ukiona wanataka kuja bora ujiwahi mwenyewe either watakupa leniency au kukusamehe kabisa kwa uungwana wako na kukutolea mifano...

Hata hawa ngoja tu siku wakijiuzulu na wakishasaza wataandika na vitabu kwa kujuta walichofanya kwamba wangepewa fursa ya kurudi nyuma wangefanya tofauti...

(Hii inakikumbusha Eminem kwenye 8 Mile - Kwenye Battle alivyoamua kusema yote mabaya ambayo jamaa angesema - mwisho wa siku jamaa akabaki kinywa wazi - hana cha kusema)
 
Ndio maana tumewapa bandar waarabu ili kuongeza pato la serikal matibabu yawe bure.
Hivi tatizo letu ni vyanzo au matumizi ya hivyo vyanzo pindi pesa hizo zikipatikana ?!!

Niambie is life better after or before (TOZO ZA MIAMALA) - Pesa za Covid na Kukopa kopa ambako hata Ndugai alishangaa (yaani think again kama hata Ndugai anakushangaa basi wewe unastahili Tuzo ya World Record)

That said usitegemee makusanyo yakiongezeka maisha yako yatabadilika sanasana ni digits za walamba asali zitanenepa zaidi...
 
  • Thanks
Reactions: Cyb
Mbowe alipata division ziro, mimi division three, nan hana akili hapo?
Babako kala hasara Sana ya kummalizia unga na maharage yake kukulisha! Bora angeviuza tu na pesa akanywea gongo! Inakusaidiaje hiyo division yako?
 
Mualikeni Rais wa IRAN. Akina Ayatullah wanamajibu na matatizo ya Afrika. Chadema wakajifunze kwa RaisI RAIS.
 
Back
Top Bottom