Mbowe: Serikali iwachukulie hatua wote walioliingiza Taifa katika Mkataba wa Bandari

Uchumi upi mlioukuza ikiwa maskini anazuiwa Kutoa maiti hospitali ya Sirikali Hadi alipe Senti ya mwisho?

Tamaduni za kiafrika, maiti haidaiwi,

Bt CCCM maiti inadaiwa!!!
Ndio maana tumewapa bandar waarabu ili kuongeza pato la serikal matibabu yawe bure.
 
Wakubwa wamefanya yao.Hizi ni kelele za mbu nje ya neti.Tazama wanavyopishana kujitetea kwenye screen na vipaza sauti.
 
Kwanini tundelee kuambiwa na kusubiri kuambiwa na mbaya zaidi wa kutuambia mpaka wapate bahati ya mikataba ku-leak (madudu au mazuri ya Bagamoyo mpaka leo hatujui kama ni kweli au uongo) hata huu wakisema sawa tumekosea tumesikia maoni yenu tutarekebisha..., who is to say baada ya miezi hawatafanya amendments kwa siri ?

Cha maana tuache usiri kwenye mali za Taifa tunahitaji UWAZI...; yoyote mwanahisa (ambaye ni mwananchi kila akitaka aweze kuona kama vile anavyosoma gazeti la Udaku.....) Enough is Enough tumepigwa mara nyingi sana.....
 
Mwanasheria Mkuu wa Botswana aliwahi kujishitaki mwenyewe kwa makosa aliyoyafanya kama Mwanasheria Mkuu.
Huenda ilikuwa defense mechanism ; Ukiona wanataka kuja bora ujiwahi mwenyewe either watakupa leniency au kukusamehe kabisa kwa uungwana wako na kukutolea mifano...

Hata hawa ngoja tu siku wakijiuzulu na wakishasaza wataandika na vitabu kwa kujuta walichofanya kwamba wangepewa fursa ya kurudi nyuma wangefanya tofauti...

(Hii inakikumbusha Eminem kwenye 8 Mile - Kwenye Battle alivyoamua kusema yote mabaya ambayo jamaa angesema - mwisho wa siku jamaa akabaki kinywa wazi - hana cha kusema)
 
Ndio maana tumewapa bandar waarabu ili kuongeza pato la serikal matibabu yawe bure.
Hivi tatizo letu ni vyanzo au matumizi ya hivyo vyanzo pindi pesa hizo zikipatikana ?!!

Niambie is life better after or before (TOZO ZA MIAMALA) - Pesa za Covid na Kukopa kopa ambako hata Ndugai alishangaa (yaani think again kama hata Ndugai anakushangaa basi wewe unastahili Tuzo ya World Record)

That said usitegemee makusanyo yakiongezeka maisha yako yatabadilika sanasana ni digits za walamba asali zitanenepa zaidi...
 
Reactions: Cyb
Mbowe alipata division ziro, mimi division three, nan hana akili hapo?
Babako kala hasara Sana ya kummalizia unga na maharage yake kukulisha! Bora angeviuza tu na pesa akanywea gongo! Inakusaidiaje hiyo division yako?
 
Mualikeni Rais wa IRAN. Akina Ayatullah wanamajibu na matatizo ya Afrika. Chadema wakajifunze kwa RaisI RAIS.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…