the guardian 17
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 395
- 570
"Kwanza nizungumze kitu kinachoitwa ukomo wa madaraka, ndani ya taasisi ya Chadema na ujue Chadema ni chama cha siasa ni kundi la watu ambapo ukijunga na chama chetu kama ambavyo ungejiunga na chama kingine chochote kitu cha kwanza unakubalina na katiba ya chama,"
"chama chetu kimeweka ukomo wa uongozi na si kweli kuwa hakuna ukomo wa uongozi kwahiyo si kweli kwamba hakuna ukomo wa uongozi" - Freeman Mbowe
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025