Mbowe: Siasa ndio msingi wa maisha yetu, tukiipuuza tutaendelea kuongozwa na wajinga tu

Zanzibar-ASP

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2013
Posts
11,550
Reaction score
40,697
Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe jana akiwa mkoani Singida amenukuliwa akionya kuwa;

"Siasa haipaswi kupuuzwa hata kidogo, ndio msingi wa maisha yetu ya kila siku. Siasa ndio iliyopelekea uwepo wa tozo, kupanda kwa bei za bidhaa na ugumu wa maisha ambao watanzania wengi wanaupitia sasa. Na kama baadhi ya watanzania wakiendelea kuipuuza siasa basi wategemee kuongozwa na watu wajinga siku zote."
 
Kabisa tuamke watanzania!
 
KUNA ONGEZEKO KUBWA LA WAJINGA NCHI halijui kesho litakula nini na litavaa nini
 
Wajinga kama wabunge la Mwendazake wanajadili uganga tu
 
Yeye mwenyewe mjinga si alilamba zero shule yule dj

USSR
 
Wosia kama huu huu aliutoa Bush Senior kwa Vijana wa marekani mwaka 1992 aliposhindwa uchaguzi kwa Clinton, Siasa siyo ya kupuuza hata kidogo, Vijana lazima mjishirishe, siasa ni kila kitu!!! Mkikaa nyuma kila saa wajinga ndiyo watawapangia mambo ya maisha yenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…