johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Lucas hana baya, yeye ni bendera kufuata upepo.Chawa @Lucas Mwashambwa ya Kweli haya Maneno ya Mwamba? πΌπ
Wamemuuliza.......kwa hiyo angekaa kimya πKwani hata kama ni kweli amerambishwa hiyo asali, katika hali ya kawaida kabisa je, angekubali kabisa kuwa katulizwa na utamu wa asali? Mbona anajitetea sana? Kujitetea kunapokuwa kwingi namna hii, kuna fanya hata wale waliokuwa bado wana imani na yeye, kuanza kupata wasiwasi.
Duu! Hii kiboko. Lucas Mwashambwa njoo huku usome huu ujumbe .Lucas hana baya, yeye ni bendera kufuata upepo.
Akiambiwa asifie, anaimba mapambio yote, atasifia mpaka jinsi mtu anavyotoa ushuzi kuwa ni kwa rhythm ya kipekee. Akiambiwa akandie, atananga hata jini mtu anavypumua kuwa anatumia hewa nyingi.
πLucas hana baya, yeye ni bendera kufuata upepo.
Akiambiwa asifie, anaimba mapambio yote, atasifia mpaka jinsi mtu anavyotoa ushuzi kuwa ni kwa rhythm ya kipekee. Akiambiwa akandie, atananga hata jini mtu anavypumua kuwa anatumia hewa nyingi.
Ahahahahaa, ihihihihiii iii uhuhuhuuuu !Mwenyekiti wa Chadema Mh Freeman Mbowe amesema hajawahi Kulamba asali, Halambi asali wala Hajalambishwa asali
Mbowe amesema Katika miaka 30 hakunaga kitu hajawahi kufanya hivyo hawezi kubabaishwa na hiyo inayoitwa asali
Ahsanteni sana
Chawa Lucas Mwashambwa ya Kweli haya Maneno ya Mwamba? πΌπ