Mbowe: Sijalamba, Silambi wala Sijalambishwa Asali. Kitu gani sijafanya ndani ya Miaka 30 hadi Leo nidanganyike kulambishwa hiyo inayoitwa Asali?

Mbowe: Sijalamba, Silambi wala Sijalambishwa Asali. Kitu gani sijafanya ndani ya Miaka 30 hadi Leo nidanganyike kulambishwa hiyo inayoitwa Asali?

Chawa @Lucas Mwashambwa ya Kweli haya Maneno ya Mwamba? 🐼😂
Lucas hana baya, yeye ni bendera kufuata upepo.

Akiambiwa asifie, anaimba mapambio yote, atasifia mpaka jinsi mtu anavyotoa ushuzi kuwa ni kwa rhythm ya kipekee na harufu ya mawaridi. Akiambiwa akandie, atananga hata jinsi mtu anavyopumua kuwa anatumia hewa nyingi.
 
Kwani hata kama ni kweli amerambishwa hiyo asali, katika hali ya kawaida kabisa je, angekubali kabisa kuwa katulizwa na utamu wa asali? Mbona anajitetea sana? Kujitetea kunapokuwa kwingi namna hii, kuna fanya hata wale waliokuwa bado wana imani na yeye, kuanza kupata wasiwasi.
 
Wamemuuliza.......kwa hiyo angekaa kimya 😀
 
Lucas hana baya, yeye ni bendera kufuata upepo.

Akiambiwa asifie, anaimba mapambio yote, atasifia mpaka jinsi mtu anavyotoa ushuzi kuwa ni kwa rhythm ya kipekee. Akiambiwa akandie, atananga hata jini mtu anavypumua kuwa anatumia hewa nyingi.
Duu! Hii kiboko. Lucas Mwashambwa njoo huku usome huu ujumbe .
 
Asali tena

😅😅😅😅

Chadrama bado wanaendeleza drama walilopanga vizuri

Maneno mengiiiii tu
Script yao wamepanga vizuri, kwa sababu wafuasi wao wamenasa haswaaa kwa drama walilopanga tanguuu
 
Lucas hana baya, yeye ni bendera kufuata upepo.

Akiambiwa asifie, anaimba mapambio yote, atasifia mpaka jinsi mtu anavyotoa ushuzi kuwa ni kwa rhythm ya kipekee. Akiambiwa akandie, atananga hata jini mtu anavypumua kuwa anatumia hewa nyingi.
😃
1000020572.jpg
 
Sasa mbona team yake wale vijana wa BAVICHA hela wanatoa wapi?

Alafu Mwamba kapungua sana aisee na ule muonekano wake na haiba vyote vimepotea.

Shikamoo Mbangaizaji TAL 🤣🤣🤣
 
Naona Wafuasi wa yule Mropokaji mnahangaika sana Baada ya kutambua kuwa Mwamba Mbowe ndiye anakwenda kushinda kwa kishindo kikuu kitakacho itetemesha Dunia nzima
 
Mwenyekiti wa Chadema Mh Freeman Mbowe amesema hajawahi Kulamba asali, Halambi asali wala Hajalambishwa asali

Mbowe amesema Katika miaka 30 hakunaga kitu hajawahi kufanya hivyo hawezi kubabaishwa na hiyo inayoitwa asali

Ahsanteni sana

Chawa Lucas Mwashambwa ya Kweli haya Maneno ya Mwamba? 🐼😂
Ahahahahaa, ihihihihiii iii uhuhuhuuuu !
 
Mwenendo wake wa hivi karibuni unaonesha karambishwa asali
 
Back
Top Bottom