Labda kiitetemeshe ccm kwa furahaNaona Wafuasi wa yule Mropokaji mnahangaika sana Baada ya kutambua kuwa Mwamba Mbowe ndiye anakwenda kushinda kwa kishindo kikuu kitakacho itetemesha Dunia nzima
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda kiitetemeshe ccm kwa furahaNaona Wafuasi wa yule Mropokaji mnahangaika sana Baada ya kutambua kuwa Mwamba Mbowe ndiye anakwenda kushinda kwa kishindo kikuu kitakacho itetemesha Dunia nzima
Wewe uliishawahi kulambishwa asali ukakaa kimya kama Mbowe?Toka lini mlambishwa chochote kile akasema.
Hiyo ni siri yake na nafsi yake. ila tunajua kalambishwa utamu.
nilipomlambisha bi mkubwa wako sikumsikia kusema kwa mtu, ndio maana nina hakika hata yeye hawezi kusema.Wewe uliishawahi kulambishwa asali ukakaa kimya kama Mbowe?