Hakuna nchi duniani ambayo ni capitalistic 100%..., Hakuna; Haya mambo ni theory on paper...,
Hata marekani unapoweza ukaita they are capitalists lakini kuna welfare kuzidi hata huku..., England tunakuwaona ni mabepari angalau kule kuna NHS (Bima kwa Wote) kuliko huku tunakojiita wajamaa....
Dunia inapoelekea Capitalism per se can never work.., kutakuja kuwa na system ya kuchukua the best in both words... Pia vision ya nyerere haikuwa kilichotokea..., Yeye alitaka Ujamaa na kujitegemea Yaani the Commanding Heights of the Economy kuwa kwenye mikono na faida ya wote..., ila kilichotokea ni kulikuwa na Capitalists in Socialists Cloths..., As Human Nature will Have it....
Kwahio duniani pote what we have is Mixed Economy