tweenty4seven
JF-Expert Member
- Sep 21, 2013
- 15,863
- 19,626
Bwashee umemsahau mwigulu anaevaa benderaKatika hili nampongeza Freeman Mbowe kwa sababu hajawahi kuwa mjamaa na amesimamia itikadi yake.
Njoo CCM sasa, utamkuta Hamis anatembea na kifimbo cha kama mwalimu Nyerere yaani fix tu...
Jamaa huwa ana siku na siku jana huko mtu mzima katia tusi kwenye uzi wa dogo hadi nikashik kichwaKuna siku akili zinakurudia
Hivi jamaa yake yule Bashiru yeye yuko wapi sikuhiziPolepole anasema yeye ni Mjamaa ila cha kushangaza anajisifia kutembea na Vieteee
Yupo bungeni amekaa kwa kutulia sana na majonzi,Hivi jamaa yake yule Bashiru yeye yuko wapi sikuhizi
Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
Ila hao jamaa wawili hao kama sio kuotaga usiku ama kustuka wakiota maisha na nafasi zao za zamani za enzi hizo sijuiYupo bungeni amekaa kwa kutulia sana na majonzi,
amefunga mdomo baada ya demotion.
Hivi mtu Kama wewe bwashee unakuwaje upande wa mafisi?Katika hili nampongeza Freeman Mbowe kwa sababu hajawahi kuwa mjamaa na amesimamia itikadi yake.
Njoo CCM sasa, utamkuta Hamis anatembea na kifimbo cha kama mwalimu Nyerere yaani fix tu...
Ni mkakati wa chadema baada ya kujaribu kumdemonise nyerere na ikabackfire. Kimsingi chadema ni chama cha kibepari ila watanzania wanajua hawahitaji chama cha kibepari kwa sasa kuendesha nchi yao.Wazee wa maV80 huku wakitukoga na kaunda suti kujidai ati wao wapo na Mwalimu saana!
“It is better to keep your mouth closed and let people think you are a fool than to open it and remove all doubt.”Katika hili nampongeza Freeman Mbowe kwa sababu hajawahi kuwa mjamaa na amesimamia itikadi yake.
Njoo CCM sasa, utamkuta Hamis anatembea na kifimbo cha kama mwalimu Nyerere yaani fix tu.
Kangi anavaa koti la bendera ni yale yale.
Waziri anavaa tai ya bendera nyuma ya pazia ukwasi wake hauhesabiki.
Na kadhalika...... nk!
Rudia kwa kigogo!“It is better to keep your mouth closed and let people think you are a fool than to open it and remove all doubt.”
~Mark Twain
Mkuu kama huelewi huelewi tuRudia kwa kigogo!
Hahahaaaa.......!Mkuu kama huelewi huelewi tu